LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Chat nao uwape hiyo meseji wana namna ya ku confirm kutoka tigo na kisha wanapakia mzigo
Unashangaa timu zinazochana ndo hizo hizo na wao wanachaniwa ila utashangaa kila siku mtu stake 500k 350k hadi million, odd 20+ mtu anatupia 500k kweli kabisa, kuweni makiniNawakumbushaga sana watu usiweke mkeka kwa kufuata hawa agents wa kampuni za kirusi sababu wanatumia demo account. Utaona kaweka milion mtu nae anafata bila kujua mwenzie ile sio pesa ya kweli ni mfano tu
Mjini akili, wao wanalipwa commission kwa kuingiza watu kwenye kampuni. Pesa anaipata kwa nyie kujiunga na kampuni na kucheza, hapo ndio analipwa commissionUnashangaa timu zinazochana ndo hizo hizo na wao wanachaniwa ila utashangaa kila siku mtu stake 500k 350k hadi million, odd 20+ mtu anatupia 500k kweli kabisa, kuweni makini
Unaruka Mkojo unakanyaga mimavi...Dah kwa leo imetosha acha nikusanye hasira kesho single bet nampa Barcelona direct win nazima simu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mjini akili, wao wanalipwa commission kwa kuingiza watu kwenye kampuni. Pesa anaipata kwa nyie kujiunga na kampuni na kucheza, hapo ndio analipwa commission
Hapo ndio huwa kampuni za kirusi wanapozingua kuwafungulia hawa agents demo account ili kushawishi watu. Hii Ni mbaya sana sababu watu wasiojua lolote huwafuata wanavyocheza na kuweka pesa nyingi bila kujua kuwa wenzao hizo sio pesa za kweli ni mfano
Ikamfikie Ser popote alipoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Watu kuelewa ni sheeda,kila siku wanaambiwa kitu hicho hicho,mtu hajiongezi
Kila siku mtu analamika pesa hazitoki,sijui sizioni,We umekimbilia
Offer sasa kuwa mpole
Kuna Kampuni kama 4 hivi huwa watoa Demo account ku attract new customers na wengi huingia kingi.
Ila wengine tunaolewa,tuliamua kutulia mtu apate rizki yake kwa Commission,na si haba amewapata telee π€£π€£π€£,Mjini mtu akiutaka acha apewe,we tulia kama Moja,baadhi wamestukia ila tayari waliishaingia kwenye mfumo jamaa wanavuta Chao
Ni kama kampuni za kuuza Solar ,wake wa mitaani ukikopa basi na wao kila ukilipa nawao Chao kinaingia,kuna Dogo anakula mpaka 1 million kwenye Solar kama commission ya malipo kila mwezi,yeye alianza miaka 6 nyuma,so Soko alilipata na analo
Cc : SerMkuu tutaingizwa sana mkenge na huyo wakala wa Paripesa anaye wahadaa hapa jukwaani kwa Demo acc anastake malaki kwa mamilioni
Kitu pekee cha kweli anacho post ni mikeka yake
Lakini anatumia DEMO ACC
Paripesa ni MAJAMBAZI
Hawana kibali cha Bodi kufanya kazi Tz, hawana ofisi na njia wanazotumia kuweka hela ni za ujanja ndio maana kutoa na kuweka ni Mtihani kweli kweli
Kuna wahuni wachache kama huyo anayepiga promo humu ndani wanapata gawio kwa kila mteja atakeye jiunga na kupigwa hela zake
Hao una chat nao ni wahuni tu labda utakuta anakujibu yupo zake kitambaa cheupe analewa tu na kuvuta shisha kwa hela za wakamalia wao hangaika labda watabahatisha
Huwa nashangaa sana mtu kushawishiwa kubet sehemu fulani au bet fulani.π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Watu kuelewa ni sheeda,kila siku wanaambiwa kitu hicho hicho,mtu hajiongezi
Kila siku mtu analamika pesa hazitoki,sijui sizioni,We umekimbilia
Offer sasa kuwa mpole
Kuna Kampuni kama 4 hivi huwa watoa Demo account ku attract new customers na wengi huingia kingi.
Ila wengine tunaolewa,tuliamua kutulia mtu apate rizki yake kwa Commission,na si haba amewapata telee π€£π€£π€£,Mjini mtu akiutaka acha apewe,we tulia kama Moja,baadhi wamestukia ila tayari waliishaingia kwenye mfumo jamaa wanavuta Chao
Ni kama kampuni za kuuza Solar ,wake wa mitaani ukikopa basi na wao kila ukilipa nawao Chao kinaingia,kuna Dogo anakula mpaka 1 million kwenye Solar kama commission ya malipo kila mwezi,yeye alianza miaka 6 nyuma,so Soko alilipata na analo
Mkuu mimi nipo sana tu. Na naona mjadala wenu. Pia hakuna mtu ambaye huwa analazimishwa kujisajili kwenye kampuni fulani ya kubetia ila kila mmoja anatumia kampuni anayo ona inafaa. Mtu anaweza kutumia 1xbet, PARIPESA, Helabet au Sportybet. Kwa hiyo mimi nitaendelea kutumia ninachopenda.Ikamfikie Ser popote alipo
Mkuu kila mmoja yupo huru kupost Code Ya kampuni yoyote hapa jukwaani. Mimi napenda kutumia kampuni za Mrusi zote. Siyo PariPesa pekee hata 1xbet nikiamua kupost Napost, Betwinner, Helabet kote huko na akaunti. Kwa hiyo kama wewe ni mpenzi wa kampuni za kawaida post Code hizo na kama unapenda kampuni za Mrusi post Code za Mrusi.Cc : Ser
PoaMkuu kila mmoja yupo huru kupost Code Ya kampuni yoyote hapa jukwaani. Mimi napenda kutumia kampuni za Mrusi zote. Siyo PariPesa pekee hata 1xbet nikiamua kupost Napost, Betwinner, Helabet kote huko na akaunti. Kwa hiyo kama wewe ni mpenzi wa kampuni za kawaida post Code hizo na kama unapenda kampuni za Mrusi post Code za Mrusi.
Mkuu 1xbet usithubutu ku deposit kupitia mobile payment UTALIWAJama hakuna pa kulalamika kuhusu pesa ambayo unatuma na inatoka kwenye account ya line na haifiki kwenye ac ya bet unayotaka jamaniπ₯π₯
Tangu juzi nimeweka Tsh 7,000/= 1XBET mpk leo hiyo pesa haijasoma na tigo & Selecom wanasema wameshafikisha pesa huko.
Sijui hata tutasikilizwa na naniπΆπ»πΆπ»πΆπ»πΉπΏπΉπΏπΉπΏ
kwahy wameilimit mazima au kwa muda tuUkiona hivyo ujue wamepigwa sana kwa hiyo option.
Nakumbuka mimi binafsi nilipiga pesa ndefu 1Xbet kwa option ya 5 minutes draw mpaka wakaiondoa.
wewe jamaa mbona hawajakulimit stake iweje mm kila app naekewa limit stake 2800 alaf ww unaeza kueka had jiwe 3!!?nmejiunga hadi paripesa nmekuta 2800 weeknd hii hata sijabet kwajil ya kuekewa limitView attachment 3149113
630000 BOOM β β β π₯β β β π°π°π€π€β β β β β β β
300000 to 630000 BOOM β β β β β ππ
Upo Tayari Kwa Code Za Leo PariPesa?
Jisajili Hapaπ https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
Mkeka gani ulitaka kubet mkuu? Kuna Mkeka hata mimi juzi walini limit. Nilitaka nistake 300,000, wakani limit niweke 57500. Mimi huwa wana ni limit ikitokea mikeka imeboom Mfululizowewe jamaa mbona hawajakulimit stake iweje mm kila app naekewa limit stake 2800 alaf ww unaeza kueka had jiwe 3!!?nmejiunga hadi paripesa nmekuta 2800 weeknd hii hata sijabet kwajil ya kuekewa limit
Pia hao jamaa wana Weka limit kulingana na aina ya Odds unazokuwa umechagua. Kama utachagua odds za Chini sana wanakulimit ila ukiweka odds kubwa hawaweki limitwewe jamaa mbona hawajakulimit stake iweje mm kila app naekewa limit stake 2800 alaf ww unaeza kueka had jiwe 3!!?nmejiunga hadi paripesa nmekuta 2800 weeknd hii hata sijabet kwajil ya kuekewa limit
Mi mbona nadeposit na zinaingua tatizo la wengi hamfanyi update, pili mtandao kama voda na tigo Huwa na shida kule kuliko Airtel, vile uzuri wa 1xbet hatakama unatumiaga voda au mtandao mwingine unaweza tumia mtandao mwingine kuweka pesa mfano natumia voda lakini naweka kwa Airtel na kinyume chake.Mkuu 1xbet usithubutu ku deposit kupitia mobile payment UTALIWA
Angalau tumia wakala ana uhakaki zaidi