NASISITIZA.Tutunze mitaje kwaajili ya kesho na kuendelea
USHAMBA wa mtumiaji wa SPORTYBET 🤣🤣🤣🤣Hizi Gifts ilikuajekuaje zikaexpire bila kutumika
View attachment 3151682
Gaming board umewashirikisha?Nili deposit 50k ikafika fasta tu
Nikabet ikafika kama 600k
Nikatoa laki haijafika mpaka leo
Nikaja nikatoa tena 50k nayo haijafika hadi leo hii
Na hapo tume chat nao na kutmiana email utadhani naomba nini sijui
Balance yangu ya 400k ipo sibet wala nini hadi nihakikishe nikitoa zinatoka ndio nitatoa
ODD: 2.80
CODE: 7C8FF0A
LINK
Kujisajiki na 1x bet tumia link http://bit.ly/3Pxdrau
Promo code jaza : MBACHOPHD
Kwa swali lolote, nicheki hapa 👉 @mbachophd96
Good luck. Beti kistaarabu 🤑
ODD: 2.80 kkkkkkkkbooooooommmmmmmmmODD: 2.80
CODE: A7161B
LINK
Kujisajiki na 1x bet tumia link http://bit.ly/3Pxdrau
Promo code jaza : MBACHOPHD
Kwa swali lolote, nicheki hapa 👉 @mbachophd96
Good luck. Beti kistaarabu 🫂
Sawa vipi kuhusu demo account Kuna ukweli wowote?kwamba mizigo unayotupia sio halisi?Mkuu mimi nipo sana tu. Na naona mjadala wenu. Pia hakuna mtu ambaye huwa analazimishwa kujisajili kwenye kampuni fulani ya kubetia ila kila mmoja anatumia kampuni anayo ona inafaa. Mtu anaweza kutumia 1xbet, PARIPESA, Helabet au Sportybet. Kwa hiyo mimi nitaendelea kutumia ninachopenda.
Mkuu hakuna mtu yeyote anayenifahamu humu kwenye mtandao kama ambavyo mimi siwafahamu nyie. Demo account imekuwa ikuzunguzwa tangu siku ya kwanza nilipo anza kupost mikeka humu. Na sehemu pekee ambapo demo account inazungumzwa ni hapa jamiiforums, sijaona sehemu nyingine inazungumzwa. Kuna Wanigeria, Wakenya, Wacameroon wana stake malaki na Mamilioni na wana followers kibao husikii kuna followers wanasema anatumia demo account. Na kujibu mimi situmii demo account. Huwa sipendi kujieleza sana mkuu. Nimekujibu ili mjadala wa demo account uishe. Ila tambua kuwa licha ya jibu hilo asilimia 99% ya watu watapingaWaSawa vipi kuhusu demo account Kuna ukweli wowote?kwamba mizigo unayotupia sio halisi?
Pia nimegundua humu ndani kuna wivu wa watu walioajiriwa kutoka kwenye kampuni ambazo siyo za mrusi. Kuna watu nawafahamu wamo humu kwenye uzi huu wanafanya kazi Sportybet, Sportpesa, hao ndiyo watu ambao wanadis sana mimi kupost mikeka kwa kampuni ya mrusi. Wana dis kwa sababu wao wameajiriwa na hizo kampuni, mimi sijaariwa na hao warusi, kwanza mimi natumia kampuni zote za mrusi. Naweza post 1xbet, Betwinner, 888STARZ Helabet nk. Kwa hiyo dis nyingi za demo account zinatoka kwa wafanyakazi wa Sportybet, Sportpesa, betpawa nk.Sawa vipi kuhusu demo account Kuna ukweli wowote?kwamba mizigo unayotupia sio halisi?
Mwisho kabisa, sisi kama Watanzania tusapotiane. Mtu huyohuyo anayeniponda mimi Kuweka Promo Code hapa, ni huyohuyo anaenda kujiunga kwa kutumia Promo Code Ya Juju punter au Mayor. Tusapotiane tufike level za Wanigeria. Wenzetu wamefika level mtu akistake milion 5 watu hawashangai. Kwanini sisi tunashangaa na kuita ni demo account. Mbona huwa hamuendi kuwaambia Wanigeria wanatumia demo account?. Tujivunie vya kwetu.Sawa vipi kuhusu demo account Kunaaa ukweli wowote?kwamba mizigo unayotupia sio halisi?
Mkuu uwe unaugawe huo mkeka utoe mikeka miwili.Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota