Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu uwe unaugawe huo mkeka utoe mikeka miwili.
Hapo ikichana game mmoja lazima mkeka mmoja utatoa
Sawa mkuu nitafanya hivyo, huwa naweka timu kumi na huwa zinakuwa na odds 100 mpaka 200 kulingana na siku,
Naweka 10,000 naifukuzia milioni+, ila siku zote inazingua mechi moja au mbili.
 
Mkuu usi tufanye watu wote humu ndani ni makondoo
Wewe unadai hakuna mtu anakujua humu ndani ila wewe ndio unawajua wafanyakazi wote wa makampuni mengine humu ndani?...... idiot

Kuna msemo unasema ukitaka kupiga hela kwenye betting basi deal na wakamalia na sio kudeal na kubet direct
Ni ama uuze odd au uwe agent
Wewe unalipwa kwa promo code
Kila mkamalia mpya akijiunga na kudeposit unapata chako..... biashara ya shida ya kuweka na kutoa haikuhusu, wewe unakua umepata chako tayari

Toka nimewajua wanaijeria huko Twitter sijawahi kula mkeka wao hata mmoja na kila siku nilikua nawafuata
Tofauti yenu ni kwamba wapo wanao tumia demo na wapo wanao edit mikeka pia
Hawa wanaijeria watu wenye akili zao wamekwisha washtukia kitambo sana, uliza kama kuna mtu hapa ndani kawahi kuwafuata akapiga maodd mlima wanayoweka
Hakuna bingwa wa bahati duniani

Usitake kuwajaza watu ujinga kwa mfano wa matapeli wa kinaijeria hawana tofauti na wewe

Wajinga wajinga huwa hawakosekani mkuu, hata mimi nimewahi kuwa mjinga nikadeposit Paripesa lakini nimetoa hela yangu hadi leo sijaipata lakini utaishia kuniita mfanyakazi wa Betipawa au sportpesaπŸ˜‚
Endela na β€œkazi” lakini sisi kama wakamalia hatuta acha kusanuana ukweli kuhusu uhuni wa hizi kampuni, ambaye hataelewa basi hiyo itakua ni faida kwako
 
Mkuu uzuri ni kwamba hiyo mikeka unayosema huwa inachana huwa inapostiwa kabla. Hata mimi huwa Napost Booking Code na ikichana huwezi kuta nimesema boom, ila ikiboom nasema boom kwa sababu najua siwezi kuedit Mkeka ambao Niliupost hadharani. Siwezi kuedit kwa sababu kuna watu wengi walifuata. Mkuu kuhusu tatizo la ku withdraw mimi sikumbani nalo kwa sababu mimi natumia crypto Kudeposit na kuwithdraw pesa. Kwa hiyo kama unataka kuondokana na adha ya ku withdraw nashauri uwe unatumia crypto.
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo, huwa naweka timu kumi na huwa zinakuwa na odds 100 mpaka 200 kulingana na siku,
Naweka 10,000 naifukuzia milioni+, ila siku zote inazingua mechi moja au mbili.
ndugu share hapa ndugu sisi sote familia
 
Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota

Je ! ukiigawa mikeka hiyo mara 2.
Odds zitakuwa juu ya 50+ kila mmoja na pia ukagawa 10k mara 2. Ukastake 5k.

Hebu tupe Link na sisi tujaribu
 
LEONBET hawa naulizia vipi hawa hawasumbui ku kutoa pesa uki win nataka nijilipua huko ,kwaanae tumia mda mrefu atupe mrejesho
wameanza na usenge na wenyewe kama wa kina paripesa

nimedeposit toka jana hadi leo hii hela haijaingia kwenye akaunti

jana na leo nimefanya mawasiliano nao na vielelezo vyote vya malipo niliwapa lkn bado naambiwa niendelee kusubiri changamoto inashughulikiwa

immagine toka jana mchana
 
Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota
Gawa mikeka mitatu weka nyumba, mke na watoto. Manake hapo itatiki miwili.
 
Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Naweza ku quote comments zako zote ulizowajibu wakamalia waliokwama Paripesa ukiwaaminisha kwamba β€œmbona mimi nimetoa au kuweka kwa voda tigo airtel leo bila shida yoyote” leo unajifanya unatumia crypto!!!

Tatizo lako sio predictions unazoweka hapa, won au lost ndio betting yenyewe

Wewe hau edit mikeka kama wanaijeria wanaoweka odd 5000 na eti zina won karibu kila siku na wakati huo wimbo wao mkuu ni kutangaza promo code ambazo ndio kipato chao na sio edit au demo acc..... hizo ni kutamanisha watu

Wewe unatumia demo acc kutamanisha watu wadeposit parefu wa stake kama wewe ili upate gawio nono wakati huo wakamalia wanaishia kupoteza hela zao hata waki win mikeka yao hawawezi kutoa hela

Watu wote wanaojifanya wanagawa predictions za free mwisho wa yote huwa wanalenga commission ya PROMO CODE tuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • CBCA9A5E-41AC-4D8E-84BD-8A48E7DEB8B3.jpeg
    139.7 KB · Views: 5
Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota
Flex game 1 weka mzigo ukimtumia sportbeti, ila usije kuwa unatuokota tushajua
 
Flex game 1 weka mzigo ukimtumia sportbeti, ila usije kuwa unatuokota tushajua
Kwani mkuu nimekwambia nauza mkeka ili uje nikuokote? Mimi nimeomba tu ushauri, huwa nachukua gemu kumi naweka over 2.5 na zinaleta odds 100 mpaka 200, inachana gemu moja au mbili.
Sasa hapo ninekuokota vipi?
Na hizi gemu karibia zote huwa hazina option ya over 1.5, zinaanzia na 2.5.
Sasa sijui wapi nimesema nataka nikuokote
 
msibishane sana jaman kama vipi kwa usalama wa wakamalia wote wa umu jf mikeka ipostiwe bila izo promo code πŸ™‚πŸ™‚ mfano kama una mkeka we andika tu jina la kampun, code na idad ya odds
Mfano

C453GT -200 odds
SportyBet
 
Hapana kaka amejaribu tu kutolea mfano maana pia umu ndani kuna madalali hajamaanisha moja kwa moja
 
Wewe jamaa kwanini sinmwelewa kwani ukiweka games hapa au code pekee bila hizo promo nini shida?, promocode zinakusaidia nini kama ni real mkamalia, sababu ya wewe kufosi paripesa kila unapopost code ni nini? Huwezi fanya hivyo in reality kama hunufaiki na kwakuwa unanufaika unawashawishi watu wabeti kwa style Yako kwenye hiyo kampuni.




Mimi sinaga mambo mengi niliweka code humu huwezi jua hata nani kaifata na ikiboom hata Huwa sikumbushi yeyote.

Unaona tu mtu anasema bro hii ikiboom unatulia.



Weka code na jina la kampuni ambapo itakuwa rahisi kila mmoja kuikopi na kwenda kutazamia huko kwenye company kisha ataweka kwenye kampuni aitakayo

Ukiendelea hivyo wewe hufai
 
Acha kujishitukia fata ushauri hapo nimekupa kama si muuza code, any problem so far?
 
Ayaa acha kutufanya sisi MABOYA kwa kigezo cha uzalendo hapa

Yaani utuingize choo cha kike Paripesa tudhulumiwe hela zetu kisa kukusapoti wewe kama wanaija wanavyo sapotiana?
Yaani wewe upate hela kwa mimi kudeposit halafu mimi nianze kuhangaisha na Paripesa kutoa na kuweka?
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Jamani huu mjadala uishe sasa
You have been warned...... atakayeamua kujiunga ni maamuzi yake, na msirudi hapa mnalialia hela hazijafika.

Sasa turudi kwenye lengo kuu la uzi huu....... CODE

CODE zianze kushuka sasa leo games kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…