Pia nimegundua humu ndani kuna wivu wa watu walioajiriwa kutoka kwenye kampuni ambazo siyo za mrusi. Kuna watu nawafahamu wamo humu kwenye uzi huu wanafanya kazi Sportybet, Sportpesa, hao ndiyo watu ambao wanadis sana mimi kupost mikeka kwa kampuni ya mrusi. Wana dis kwa sababu wao wameajiriwa na hizo kampuni, mimi sijaariwa na hao warusi, kwanza mimi natumia kampuni zote za mrusi. Naweza post 1xbet, Betwinner, 888STARZ Helabet nk. Kwa hiyo dis nyingi za demo account zinatoka kwa wafanyakazi wa Sportybet, Sportpesa, betpawa nk.
Mkuu usi tufanye watu wote humu ndani ni makondoo
Wewe unadai hakuna mtu anakujua humu ndani ila wewe ndio unawajua wafanyakazi wote wa makampuni mengine humu ndani?...... idiot
Kuna msemo unasema ukitaka kupiga hela kwenye betting basi deal na wakamalia na sio kudeal na kubet direct
Ni ama uuze odd au uwe agent
Wewe unalipwa kwa promo code
Kila mkamalia mpya akijiunga na kudeposit unapata chako..... biashara ya shida ya kuweka na kutoa haikuhusu, wewe unakua umepata chako tayari
Toka nimewajua wanaijeria huko Twitter sijawahi kula mkeka wao hata mmoja na kila siku nilikua nawafuata
Tofauti yenu ni kwamba wapo wanao tumia demo na wapo wanao edit mikeka pia
Hawa wanaijeria watu wenye akili zao wamekwisha washtukia kitambo sana, uliza kama kuna mtu hapa ndani kawahi kuwafuata akapiga maodd mlima wanayoweka
Hakuna bingwa wa bahati duniani
Usitake kuwajaza watu ujinga kwa mfano wa matapeli wa kinaijeria hawana tofauti na wewe
Wajinga wajinga huwa hawakosekani mkuu, hata mimi nimewahi kuwa mjinga nikadeposit Paripesa lakini nimetoa hela yangu hadi leo sijaipata lakini utaishia kuniita mfanyakazi wa Betipawa au sportpesa😂
Endela na “kazi” lakini sisi kama wakamalia hatuta acha kusanuana ukweli kuhusu uhuni wa hizi kampuni, ambaye hataelewa basi hiyo itakua ni faida kwako