Kwa hyo ushindi wa kupewa ukitokea kanji anakuwa kashinda au ananirudishia hela yangu Na bet inakuwa void ndo nataka nielewe hapo
Sina uhakika sana kwenye hili.
Kanji hapa bado hajafanya maamuzi. Kama ni void au lah.
Kanji anafuata official results. Zinazotangazwa na bodi husika,
Mfano Kama ni TZ, na TFF wakasema timu ipewe point 3 na goli 3, then Kwa manajiri hayo, Romania ameshinda na Kanji atafuata hayo maamuzi.
Kama ni bodi Husika ikasema mechi imaliziwe dk zile zilizobak, (ndan ya masaa 48) bas baada ya mechi, yale matokeo husika ndio yatafuatwa na Kanji.
Lakin hapa , pamoja na dk zilikuwa zinaishia kabisa, Kosovo ndio walitoka uwanjan na wamesubiriwa lakin hawajarudi, ni utovu wa nidhan na ndio maana nikasema kuna uwezekano mkubwa Romania akapewa ushindi.
Ingekuwa mashabiki wameingia uwanjan, au mvua kubwa imenyesha, (sababu ya kuvunjika kwa mechi ni nje ya wachezaj na bech la ufund).
Basi matokeo wanaweza kuyaacha yalivyo coz dk nying zishachezwa.