Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Mie Shabiki wa YOUNG AFRICANS
Ila Musonda we Mbwa kwelii🤣🤣🤣🤣
Ila Musonda we Mbwa kwelii🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Betting ilivyo ya ajabu unakuta mpaka dakika ya 90 ni 3:0 hizo hizo.Ukute umetia stake ya maana
Uko vzuri odds ngapi hizoIlibaki kidogo tu!!!
View attachment 3153358
Imenikuta hiyo mkuu, kuna siku PSG anacheza na team ya ligue 1 yuko home,Betting ilivyo ya ajabu unakuta mpaka dakika ya 90 ni 3:0 hizo hizo.
Kuna muda unabeti mechi 1 kwa option ya over 1.5 sekunde ya 34 linaingia goli la kwanza na ndio linadumu hilo hilo mpaka FT hadi unahisi mhindi anakutafuta wewe binafsi.
Hii mechi ya Romania na Kosovo imekaaje wakuu maana naona imekuwa suspended na sijui kama itachezwa tena au bet itakuwa void nielewesheni maana nilimpa Kosovo ashinde mazima
Hizi odds ni kama zimeshatoa yule jamaa kashida dhidi ya TysonHii naiona hela kabisaaaaa
Hizi odds ni kama zimeshatoa yule jamaa kashida dhidi ya Tyson
Kwa hyo ushindi wa kupewa ukitokea kanji anakuwa kashinda au ananirudishia hela yangu Na bet inakuwa void ndo nataka nielewe hapoIlitokea Fujo dk 90+ (ndan ya zile dk za nyongeza).
Game ilikuwa 0-0 .
Wachezaj wa Cosovo wakatoka uwanjan, wakasubiriwa baada ya lisaa limoja hawakurudi, refa akaanzisha mpira kukiwa na wachezaj wa Romania wenyewe, alaf mpira ulivyoanza tu , akapiga filimbi uishe.
Uwezekano mkubwa Romania akapewa ushindi. Point 3 na goli 3.
Kwa hyo ushindi wa kupewa ukitokea kanji anakuwa kashinda au ananirudishia hela yangu Na bet inakuwa void ndo nataka nielewe hapo
Dogo kazingua sanaHizi odds ni kama zimeshatoa yule jamaa kashida dhidi ya Tyson