Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sporbety timu uliyochagua ikiongoza goli mbili first half wanatiki,so niliifuata lkn mkeka bado upo😄
Hiyo option mpya kampuni kadhaa wameiweka, inaitwa 2 UP

Ni mpaka uchague wewe timu ishinde kwa 2 up, na odds huwaga zinashuka kidogo

Faida yake

Timu uliuoipa ushindi ikipata goli mbili mfululizo (2-0) tayari mkeka unatiki, haijalishi matokeo ya mwisho.

Kwa mfano Timu A na timu B zinacheza. Ukaipa timu B ishinde by 2UP. mpaka kufikia dakika ya 20 timu B ikaongoza kwa A 0-2 B mkeka utatiki, hata kama matokeo ya mwisho watatoka sare ya 2-2. bado utakuwa umeshinda

Na endapo timu ukaipa 2 UP lakin ikashinda 1-0. bado utakuwa umeshinda

hivyo bookies huwaga wanashusha odds kidogo kwa hiyo option, mfano sportybet Liverpool ana odds 1.31 za kushinda, lakini ukiweka 2 UP ana odds 1.29
 
Umefafanua vzr sana mkuu,big up.
 
NAOMBENI KUULIZA BOOKING CODE YA PREMIER BET ZONE INACHUKUA MDA GANI KU EXPIRE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…