Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sporbety timu uliyochagua ikiongoza goli mbili first half wanatiki,so niliifuata lkn mkeka bado upo😄
Hiyo option mpya kampuni kadhaa wameiweka, inaitwa 2 UP

Ni mpaka uchague wewe timu ishinde kwa 2 up, na odds huwaga zinashuka kidogo

Faida yake

Timu uliuoipa ushindi ikipata goli mbili mfululizo (2-0) tayari mkeka unatiki, haijalishi matokeo ya mwisho.

Kwa mfano Timu A na timu B zinacheza. Ukaipa timu B ishinde by 2UP. mpaka kufikia dakika ya 20 timu B ikaongoza kwa A 0-2 B mkeka utatiki, hata kama matokeo ya mwisho watatoka sare ya 2-2. bado utakuwa umeshinda

Na endapo timu ukaipa 2 UP lakin ikashinda 1-0. bado utakuwa umeshinda

hivyo bookies huwaga wanashusha odds kidogo kwa hiyo option, mfano sportybet Liverpool ana odds 1.31 za kushinda, lakini ukiweka 2 UP ana odds 1.29
1000280007.jpg
 
Hiyo option mpya kampuni kadhaa wameiweka, inaitwa 2 UP

Ni mpaka uchague wewe timu ishinde kwa 2 up, na odds huwaga zinashuka kidogo

Faida yake

Timu uliuoipa ushindi ikipata goli mbili mfululizo (2-0) tayari mkeka unatiki, haijalishi matokeo ya mwisho.

Kwa mfano Timu A na timu B zinacheza. Ukaipa timu B ishinde by 2UP. mpaka kufikia dakika ya 20 timu B ikaongoza kwa A 0-2 B mkeka utatiki, hata kama matokeo ya mwisho watatoka sare ya 2-2. bado utakuwa umeshinda

Na endapo timu ukaipa 2 UP lakin ikashinda 1-0. bado utakuwa umeshinda

hivyo bookies huwaga wanashusha odds kidogo kwa hiyo option, mfano sportybet Liverpool ana odds 1.31 za kushinda, lakini ukiweka 2 UP ana odds 1.29View attachment 3159870
Umefafanua vzr sana mkuu,big up.
 
NAOMBENI KUULIZA BOOKING CODE YA PREMIER BET ZONE INACHUKUA MDA GANI KU EXPIRE?
 
Back
Top Bottom