Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🀣🀣🀣, mkuu manyumbu imekuwaje tena , ila nimecheka sanaaπŸ€£πŸ™ŒπŸ»
Mkuu huwezi amini huu mkeka wa sh 200 nilikua naenda kula pesa ndefu sana, nilizipa izo nyumbu zishinde kipindi chochote tu lakini zimedebweda!!

Nilijua kile kimoko cha harakaharaka walichotia kipindi cha kwanza kingeweza kudumu walau kipindi kizima lakini holaa zikashindwa kubana mattercore mpaka wanakuja chomolewa dk 2 kabla ya mapumziko, kipindi cha pili walikua wanatikisa vishundu tu... wtf..!!!!!!!!

Kati ya timu 30 zimekuja kuchana zenyewe

Jana Leipzig pia kachana mwenyewe kati ya
timu 25.!!!

Kumaanisha nini.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Daah hongera lakini mkuu, ulicashout ngapi
 
Hahahahaaa yaani hawa Mbwa wangejua wanavyotulaza na viatu, ila mimi Barca alichofanya jana ni zaidi unyama!!πŸ™ŒπŸ» Huwezi kushindwa kubana t*ko dakika zile chache wangekaa hata basi wote 10 golini wazuie!!
 
Ungetumia betpawa 2up ingekuokoa mm nilala na viatu kumbe mbl 2up umefanya Ile ktu kuamka nakuta acc inasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…