Kutoka kwenye 15k nimecash out 305tshNimecashout 25k man u
Kaondoka 600k yangu
Mkuu huwezi amini huu mkeka wa sh 200 nilikua naenda kula pesa ndefu sana, nilizipa izo nyumbu zishinde kipindi chochote tu lakini zimedebweda!!🤣🤣🤣, mkuu manyumbu imekuwaje tena , ila nimecheka sanaa🤣🙌🏻
Daah hongera lakini mkuu, ulicashout ngapiMkuu huwezi amini huu mkeka wa sh 200 nilikua naenda kula pesa ndefu sana, nilizipa izo nyumbu zishinde kipindi chochote tu lakini zimedebweda!!
Nilijua kile kimoko cha harakaharaka walichotia kipindi cha kwanza kingeweza kudumu walau kipindi kizima lakini holaa zikashindwa kubana mattercore mpaka wanakuja chomolewa dk 2 kabla ya mapumziko, kipindi cha pili walikua wanatikisa vishundu tu... wtf..!!!!!!!!
View attachment 3160621
Kati ya timu 30 zimekuja kuchana zenyewe
Jana Leipzig pia kachana mwenyewe kati ya timu 25.!!!
Kumaanisha nini.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sinaga huo utaratibuDaah hongera lakini mkuu, ulicashout ngapi
Hahahahaaa yaani hawa Mbwa wangejua wanavyotulaza na viatu, ila mimi Barca alichofanya jana ni zaidi unyama!!🙌🏻 Huwezi kushindwa kubana t*ko dakika zile chache wangekaa hata basi wote 10 golini wazuie!!Mkuu huwezi amini huu mkeka wa sh 200 nilikua naenda kula pesa ndefu sana, nilizipa izo nyumbu zishinde kipindi chochote tu lakini zimedebweda!!
Nilijua kile kimoko cha harakaharaka walichotia kipindi cha kwanza kingeweza kudumu walau kipindi kizima lakini holaa zikashindwa kubana mattercore mpaka wanakuja chomolewa dk 2 kabla ya mapumziko, kipindi cha pili walikua wanatikisa vishundu tu... wtf..!!!!!!!!
View attachment 3160621
Kati ya timu 30 zimekuja kuchana zenyewe
Jana Leipzig pia kachana mwenyewe kati ya timu 25.!!!
Kumaanisha nini.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ungetumia betpawa 2up ingekuokoa mm nilala na viatu kumbe mbl 2up umefanya Ile ktu kuamka nakuta acc inasomaHahahahaaa yaani hawa Mbwa wangejua wanavyotulaza na viatu, ila mimi Barca alichofanya jana ni zaidi unyama!!🙌🏻 Huwezi kushindwa kubana t*ko dakika zile chache wangekaa hata basi wote 10 golini wazuie!!
Hii imeshatoa mbonaWakuu hapa hivi nitoe ,huyu nice simuaminiView attachment 3160669
Mimi na Manyumbu tena Basi.
Mattercore yake pimbi huyo.!!!Hii mechi kocha kaingia kichwa kichwa ni mngese sana.
Mfumo wa 3:4:2:1 kwa wachezaji gani?!
Kule Cp alikuwa akipafomu kutokana na aina ya wachezaji alikokuwa nao wananyumbulika ila hapa atahitaji mda, united hii ili wachezaji wajione huru ni 4:2:3:1 utawaona wanavyojiamini maana ni wavivu wachezaji, Bruno anakuwa kati maana ni kachezaji kazuri ila kavivu na huu mfumo utaona uwepo wake wa kugawa mpira,,,
Kocha katuua jana, na inabidi awakomalie mazoezini wabadilike haswa, jana mara mia angecheza 4:4:2 mbwa yule
Umemponza mwenzako huko, kashikiliwa baada ya kuagiza juice ya tende na man u, kafanya yakeMpe man u mpe
Madrid
Paok Dc
Kisha agiza juice
Kazingua sana, angeacha van kwa mechi ya jana apange takataka zake wangeibuka na ushindiMattercore yake pimbi huyo.!!!
Ndio master nishapata supu tayariHii imeshatoa mbona
Ishainikuta hii issue ,kuna siku sportybet wamenipa ofa ya sh 100 free bet, nikaweka mkeka hovyo hovyo team 8 odds 13,Haya ile 305tsh niliyocash jana nikasema ngoja nibonyeze game nane zote niweke home win kisha nilale ili account isome tu 0, nashangaa naamka ile hasara ya jana imerecoverView attachment 3160803