TAFAKURI ya games za leo
Game za kuepuka direct win ni hizi:
Arsenal anasuasua na anakutana ugenini na Sporting wa moto balaa
Man City hawapo sawa kisaikolojia,
Yanga uwezekano wa kushinda upo lakini hii ni Yanga mpya iliotoka kuvurugwa na vipigo na ujio wa kocha mpya
Game zenye matumaini
Waarabu Al ahly na Esperance na Pyramid unaweza kuwadhamini direct, Ila Cr Belouzdad na Raja.... hawa labda DC ya 1x inawahusu
Mamelody naye unaweza kumdhamini mazima kwa 1.5+
Game za kudhamini magoli over kuanzia 1.5 ni:
Buyern vs psg
Young boy vs Atalanta.
Sporting vs Arsenal
Keverkusen vs Salzburg
Na kwa under 3.5 ni:
Raja vs Rabat
Pyramid vs G.D
Mazembe vs Alger
Haya ni maono yangu
Ntakuja na odd zangu 2+ za do or die
Always stake what you can afford to lose 🙏