dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
barca ungempa over 1.5yeye peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
barca ungempa over 1.5yeye peke yake
lEo lazima wakomae,usiwe na wasiwasibarca ungempa over 1.5yeye peke yake
Hizo 2+ odd zikuje basiTAFAKURI ya games za leo
Game za kuepuka direct win ni hizi:
Arsenal anasuasua na anakutana ugenini na Sporting wa moto balaa
Man City hawapo sawa kisaikolojia,
Yanga uwezekano wa kushinda upo lakini hii ni Yanga mpya iliotoka kuvurugwa na vipigo na ujio wa kocha mpya
Game zenye matumaini
Waarabu Al ahly na Esperance na Pyramid unaweza kuwadhamini direct, Ila Cr Belouzdad na Raja.... hawa labda DC ya 1x inawahusu
Mamelody naye unaweza kumdhamini mazima kwa 1.5+
Game za kudhamini magoli over kuanzia 1.5 ni:
Buyern vs psg
Young boy vs Atalanta.
Sporting vs Arsenal
Keverkusen vs Salzburg
Na kwa under 3.5 ni:
Raja vs Rabat
Pyramid vs G.D
Mazembe vs Alger
Haya ni maono yangu
Ntakuja na odd zangu 2+ za do or die
Always stake what you can afford to lose 🙏
Hii ni pesa mkuu, weka mzigo hapoWakuu vipi Ahly anaweza kupata goli mbili nyumbani leo?
Vipi Mamelod ataweza kumfunga mkongo maniema
Vipi Pyramid atatoboa kwa Muangola?
Mkuu huu mkeka unavutia sana
Kubet ujue kunaendana na machale huyu mamelod leo hanipi imani kabisa namuondoa
Nimemuondoa Mamelodi naona machale yangu yanmkataaMkuu huu mkeka unavutia sana
Kwa mtazamo wangu hapo changamoto ni wingi wa game tu..... possibility ya game angalau moja kuzingua inakua kubwa
All the best