Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportbety vp kiongozi
 
Hivi handicap ya 1+ si ni sawa na dc ama mimi ndo sielewi
Ndio zote umemlinda maana kama walitoka draw 0-0 ukawa umemtoa DC 1x au 2x hapo fureshii, pia hand cup 1+ umemtoa goli walitoka 0-0 itahesabika 1-0 au 0-1 fureshii yani,
 
Nimefanya miamala mitatu tangu jana mpaka sasa haijafika SportyBet na TigoPesa salio limepungua, nikiwapigia Tigo wananambia nisubiri 24hrs, nikiwapigia SportyBet wananambia masaa 6, wtf.!!!!!!
 
Nimefanya miamala mitatu tangu jana mpaka sasa haijafika SportyBet na TigoPesa salio limepungua, nikiwapigia Tigo wananambia nisubiri 24hrs, nikiwapigia SportyBet wananambia masaa 6, wtf.!!!!!!
Walishatoa taharifa kuwa wana tatizo kwenye Yas yao,kuwa mpole tu.
 
Changamoto kubwa ya kampuni za kueleweka ni game chache, machaguo machache ila uhakika wa hela yako ni 100%
Sportybet wanajitahidi angalau

Kampuni za mrusi zipo vizuri kwenye idara zote kasoro kuweka na kutoa
 
BETWINNER mtoe hapo
 
Kama sportpesa kuweka na kutoa ni kugusa tu ila option sasa ndo tatizo
 
Kabisa mkuu, kama hao 1xbet sina hamu nao nilishinda.milioni nne kuitoa ikawa nongwa, waliniomba passport bahati nzuri ninayo nikaipiga picha nikawatumia lakini bado mlolongo ukawa mrefu.
 
Kabisa mkuu, kama hao 1xbet sina hamu nao nilishinda.milioni nne kuitoa ikawa nongwa, waliniomba passport bahati nzuri ninayo nikaipiga picha nikawatumia lakini bado mlolongo ukawa mrefu.
Kutoa kutoa kwa wakala au ulitumia njia tofauti?
 
Code>>> AVEQX

Tumia Promo Code π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’ Upate Bonus Ya πŸ‘πŸŽπŸŽ,𝟎𝟎𝟎 Ukijiunga Na Ukideposit .

Jisajili PariPesa Hapa πŸ‘‡

cutt.ly/hwKXFbXz

cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…