Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Hongera mzeeπ
Celtic, galatasaray kwenye ligi zao hawajawahi kunia gusha ila hizo mbwa zingineHapo Kwa Celtic hapo panaweza pakaleta shida
Hilo li timu ni li timu la PROJECT, Kwao kufungwa ni kitu cha kawaida sana hawana Malengo yoyote yale.Kabisa hawa ni wabahatishaji tuu
Na wakose tu mbwa haoBarca wanajisahau watakosa kila kitu
Madrid akishtuka
View attachment 3165741
BASKETBALL CHINA ππ
Code>>> RR448
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukideposit.
Jisajili PariPesa Hapa π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Hamna treni la Kona leoWanaume 22 uwanjani ndani ya dakika 45 + 4 za nyongeza mnapiga Kona 2 kweliπ³π³.
πππππYANGA Mpe hizi options:-
YOUNG AFRICANS Win
YOUNG AFRICANS over 1.5
YOUNG AFRICANS vs NAMUNGO overall 1.5
Real Madrid win or over 2.5
Imetick tayari kipindi cha kwanza tuPotezea weka game ya arsenal 3.5 over
Umechagua magoal au direct win?Baada ya Barca kutunyoosha ngoja tuone kama psg atatufuta machozi
Nimefanya miamala mitatu tangu jana mpaka sasa haijafika SportyBet na TigoPesa salio limepungua, nikiwapigia Tigo wananambia nisubiri 24hrs, nikiwapigia SportyBet wananamb
Kwanini mkuuNaanza kumwamini jamaa aliyesema tuliozaliwa tarehe 26, betting haitufai.