Ndo Hali mkuu, anafanya vibaya wote tumemuama, akianza kufanya vizuri woooote tunarudi, πSasa mzee unataka watu waendelee kupoteza
Hahahahaaaa,nimecheka sanaNimepata daraja F inabidi nidisco.View attachment 3166861
Hata goli moja hatumuombiMaisha kweli yanabadirika kweli Leo Man city Leo anapitwa hakuna anaembetia dah, Yani kama hatumuoni vile,
Hatari sanaHata goli moja hatumuombi
Ni hatari sanaSporting siku zote waliaminika kwenye Ligi Yao hutoka na goli zaidi ya 2, Jana mambo yamekuwa kinyume
Ni balaa sanaHao wengine sawa yani hadi sporting CP goli limefungwa dakika ya 33 hadi full time wameshindwa kuchomoa
View attachment 3167176
Code>>> EDLGZ
Tumia Promo Code ππππππππ Upate Bonus Ya πππ,πππ Ukideposit .
Jisajili PariPesa Hapa π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: ππππππππ
Mpe goal 3 mechi ijayo na Nottingham Forrest, weka nyumba ya urithi alafu lalaMaisha kweli yanabadirika kweli Leo Man city Leo anapitwa hakuna anaembetia dah, Yani kama hatumuoni vile,
Mwakani mzee hiyo gameGame ya Inter vipi mazee.... Itarudiwa lini?
VIPI mmerudishiwa hela zenu? au haukuwabetiaNoma,,,,,,,!!
Mkeka ulionekana bado unahema, Ila ulikua na Cashout,,,,,,,,!!VIPI mmerudishiwa hela zenu? au haukuwabetia
Kampuni gani wanaweka cashout wakati kuna game yenye utata?Mkeka ulionekana bado unahema, Ila ulikua na Cashout,,,,,,,,!!
Game ya Inter vipi mazee.... Itarudiwa lini?