Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 568
- 1,028
Ni vitukoHaya wale wa barca win kasawazishiwa huko tayari
Tumeelewana sio?View attachment 3168027
Weka Nyumba, tukutane saa 5 baada ya game kuisha
pole...Freiburg 200k pyuuu
Kuna timu haziko vizuri kwenye ligi so hawawezi kuweka nguvu kwenye vikombeFreiburg 200k pyuuu
View attachment 3168027
Weka Nyumba, tukutane saa 5 baada ya game kuisha
Leo akitoboa bas kidumeBayern pyuuu
Kwanini odds kama wameswap, bayern kapewa 4 leverkusen kapewa 2, kuna kadi?Leo akitoboa bas kidume
Manuer neur kala red cardKwanini odds kama wameswap, bayern kapewa 4 leverkusen kapewa 2, kuna kadi?
Daah saiv sjui nna mkosi kila nikidandia matreni ya watu ya odds kuanzia buku+ yana chana kuanzia timu 7 na kuendelea dadeqπ€π€
Kama kuna mtu ambaye matreni yake yanaznguaga ata timu nne kushuka chini awe ananipatia zikichana timu nne kushuka chini ntakua namgea ata ya vocha wazee lost zimekua mingiπ₯Ά