Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Barcelona na zile offside trap lilikua ni suala la muda tuh wapinzani wameshamsoma sasahivi wanajipigia tuh
 

Attachments

  • 20241203_215012.jpg
    20241203_215012.jpg
    176.5 KB · Views: 6
Daah saiv sjui nna mkosi kila nikidandia matreni ya watu ya odds kuanzia buku+ yana chana kuanzia timu 7 na kuendelea dadeq😤😤
Kama kuna mtu ambaye matreni yake yanaznguaga ata timu nne kushuka chini awe ananipatia zikichana timu nne kushuka chini ntakua namgea ata ya vocha wazee lost zimekua mingi🥶
 

Attachments

  • Recorder_02122024_235832.jpg
    Recorder_02122024_235832.jpg
    228 KB · Views: 3
Back
Top Bottom