kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Dah yan sijui kwann kddk Yani gemu Kwa siku zinacheza gemu 470 , unaweka zako over 1.5 gemu kadhaa tu , matokeo gemu 400 zinatoa over 1.5 afu gemu 70 hazitoi , unajikuta umeangukia kwny hzo gemu sabini dahYani hata goli moja kupata ni issue ukiangalia timu ulizoziacha wanascore uliyochagua sasa ni 0-0
Au gemu zinacheza 567 , unaweka zako over 0.5 gemu zako 20 upate odd 2 ustake zako high , Cha ajbu gemu 50 kati ya 500+ zinatoka 0-0 , unajikuta gemu Yako umeangukia kwny hzo gemu za 0-0 dah😂 Yani hzo gemu 500 zote uliziruka dah kama uchawi vile😭 SEMA unakuta mda mwengne kanji nae jau unakuta ananza na over 2.5 au 3.5Dah yan sijui kwann kddk Yani gemu Kwa siku zinacheza gemu 470 , unaweka zako over 1.5 gemu kadhaa tu , matokeo gemu 400 zinatoa over 1.5 afu gemu 70 hazitoi , unajikuta umeangukia kwny hzo gemu sabini dah
Zipo,tupiaKwa wale waliocheki game ya mwisho ya City vipi amuone goal 2 pale kesho, nataka nitupie tembo over 1.5 kwa City.
Kama sportpesa ni nadra sana kukuta over 0.5 nyingi anaanzia 2.5 then under ni 3.5 mwishoAu gemu zinacheza 567 , unaweka zako over 0.5 gemu zako 20 upate odd 2 ustake zako high , Cha ajbu gemu 50 kati ya 500+ zinatoka 0-0 , unajikuta gemu Yako umeangukia kwny hzo gemu za 0-0 dah[emoji23] Yani hzo gemu 500 zote uliziruka dah kama uchawi vile[emoji24] SEMA unakuta mda mwengne kanji nae jau unakuta ananza na over 2.5 au 3.5
Mbona vigezo vipo wazi tuNini hiki mkuu? Kigezo gani kimetumika kuchagua hizi timu?
Naksilizia yeye nile helaila PSG jamani ahahhahahah
Huyu mgonjwa sana tu nilikuwa nimemzila sijui leo nini limenifanya nimubetie! Ila sasa basi, Mimi na yeye aaaaaaaila PSG jamani ahahhahahah
MImi nimempa dabo chance naomboa asije akapachikwa dakika za usoni maana wiki iliyopita alinifanya vibaya nikaacha kubet wiki nzima leo nimeenda kiugo uoga psv kaua iner kaua niliowapa over 1.5 na na over 0.5 wameawapiga watu goli 3 hadi 5Huyu mgonjwa sana tu nilikuwa nimemzila sijui leo nini limenifanya nimubetie! Ila sasa basi, Mimi na yeye aaaaaaa
PSG mamaee zakee alibaki yeye tu nimkamue kanjiNawasalimu kwa jina la psg
mm nimelala na homaa kaliiii PSG mara ya pili khaah nkaaacha game ya atlantaPs
PSG mamaee zakee alibaki yeye tu nimkamue kanji
Sportpes.wanataka pesa ya mkamaria kwa lazima.Kama sportpesa ni nadra sana kukuta over 0.5 nyingi anaanzia 2.5 then under ni 3.5 mwisho
Manchester city na galatasaray kukupa hizo goli ni uhakika kwa sababu hizo timu zinajitahidi kufunga lakini zinahakikisha wapinzani wao pia wanapata chochoteKwa wale waliocheki game ya mwisho ya City vipi amuone goal 2 pale kesho, nataka nitupie tembo over 1.5 kwa City.