Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani hata goli moja kupata ni issue ukiangalia timu ulizoziacha wanascore uliyochagua sasa ni 0-0
Dah yan sijui kwann kddk Yani gemu Kwa siku zinacheza gemu 470 , unaweka zako over 1.5 gemu kadhaa tu , matokeo gemu 400 zinatoa over 1.5 afu gemu 70 hazitoi , unajikuta umeangukia kwny hzo gemu sabini dah
 
Dah yan sijui kwann kddk Yani gemu Kwa siku zinacheza gemu 470 , unaweka zako over 1.5 gemu kadhaa tu , matokeo gemu 400 zinatoa over 1.5 afu gemu 70 hazitoi , unajikuta umeangukia kwny hzo gemu sabini dah
Au gemu zinacheza 567 , unaweka zako over 0.5 gemu zako 20 upate odd 2 ustake zako high , Cha ajbu gemu 50 kati ya 500+ zinatoka 0-0 , unajikuta gemu Yako umeangukia kwny hzo gemu za 0-0 dah😂 Yani hzo gemu 500 zote uliziruka dah kama uchawi vile😭 SEMA unakuta mda mwengne kanji nae jau unakuta ananza na over 2.5 au 3.5
 
Au gemu zinacheza 567 , unaweka zako over 0.5 gemu zako 20 upate odd 2 ustake zako high , Cha ajbu gemu 50 kati ya 500+ zinatoka 0-0 , unajikuta gemu Yako umeangukia kwny hzo gemu za 0-0 dah[emoji23] Yani hzo gemu 500 zote uliziruka dah kama uchawi vile[emoji24] SEMA unakuta mda mwengne kanji nae jau unakuta ananza na over 2.5 au 3.5
Kama sportpesa ni nadra sana kukuta over 0.5 nyingi anaanzia 2.5 then under ni 3.5 mwisho
 
Nini hiki mkuu? Kigezo gani kimetumika kuchagua hizi timu?
Mbona vigezo vipo wazi tu

Ni points ambazo Clubs inazo ktk mashindano makubwa
Hapo Team zote hizo zimewahi kuwa Mabingwa wa CAF.
Points zao hakuna hata mmoja kati ya Simba na Young Africans atawafikia.Hawaangaliii matokeo tu ya Karibuni na NDIO maana team zenye records kubwa hata mbele zikiharibu huwa zinakuwa zimetengeneza points nyingi

Ni Sawa na TANZANIA,Club Bingwa na Shirikisho tumepewa Team nyingi kuliko Nchi yoyote Africa Mashariki.
Ni kutokana na points zetu kama Taifa,ambazo SIMBA Sports Club alikuja kuzitengeneza kisha Young Africans akaja pia kuboost
 
Huyu mgonjwa sana tu nilikuwa nimemzila sijui leo nini limenifanya nimubetie! Ila sasa basi, Mimi na yeye aaaaaaa
MImi nimempa dabo chance naomboa asije akapachikwa dakika za usoni maana wiki iliyopita alinifanya vibaya nikaacha kubet wiki nzima leo nimeenda kiugo uoga psv kaua iner kaua niliowapa over 1.5 na na over 0.5 wameawapiga watu goli 3 hadi 5
 
1728442497731.jpg
kanji anawapuna tuuuu
Hata tufate code ulaya yeye anapuna tu yaaaani anapuna tu 😀😀
 
Back
Top Bottom