Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 568
- 1,028
Poa ila nataka kujilipua nipe odds 3Mi huwaga nabeti magoal tu, Man City na Real Madrid nimewapa goal 2, Al Ahly FC nimempa goal 1 asindwe mwenyewe. Nimeona hapo mkeka wako uko sawa, ila leo Barca sijamchukua ni hao tu.
Poa ila nataka kujilipua nipe odds 3
Sawa sema hapo kwa ahly ndo nashakaView attachment 3171141View attachment 3171143View attachment 3171144View attachment 3171146
Leo nimeenda hivyo liwalo na liwe. Huwaga maximum nafanya team 2, mara nyingi natumia team 1 tu na option ya magoal tu.
Code yako nyepesi lakini kutoboa ngumu sana muangalie Manchester cityWeekend ya moto hiiView attachment 3171060
Hii mikeka aisee....aya, tujifurahishe.Sportybet sportybet sportybet
[emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385]
F51062
315B076
3AE0A9
A91FC9
C8858F
City naona kama atashinda wasiwasi ni ChelseaCode yako nyepesi lakini kutoboa ngumu sana muangalie Manchester city
Upo sahihi kwakuwa katika team 10 tunazobet unakuta team mbili au Moja inachana just keep it up boy..View attachment 3171141View attachment 3171143View attachment 3171144View attachment 3171146
Leo nimeenda hivyo liwalo na liwe. Huwaga maximum nafanya team 2, mara nyingi natumia team 1 tu na option ya magoal tu.
mzee Leo vipi sisi wengine tunasubiri maelekezo kutoka kwakoHii game inatamanisha sana kumfuata Aseno mazima lakini Man U sio wa kuwachukulia poa wamepandisha form yao wanaweza kufanya maajabu
Mi naondoka nayo kwa Total corner Over 10.5 Odd 2
Kwa sababu timu zote zinashambulia sana possibility ya kona nyingi ni kubwa
Yeah away huwa wanatafuta sare tu wakirudi kwao ndo huchomokiSawa sema hapo kwa ahly ndo nashaka