Nokibonyeza hiyo link simu ina shindwa ku load.Kwanini?
Piga nayoHivi mtu awezi kufanya hivi akapita nayo au nimepotea🤣
View attachment 3173891
Jamaa mmoja mwaka jana aliweka miambili akala M 13Ni possible kaka ,kuna jamaa kwa 500 akala laki na upuuzi tena mechi 7 sijui 5, zile za ngumu kumeza
E bwana eeh!!!na wanatoa kabisa?? Na wanamlipaje mtu kama huy kama just umebet kwa mtandao? Maana sidhan kama kwa simu pesa hii inalipikaJamaa mmoja mwaka jana aliweka miambili akala M 13
Unapewa hela yako tena yooooooote kabisa,labda ubetie vikampuni vya ajabu ajabu kama cjui paripesa,andika umeumia.E bwana eeh!!!na wanatoa kabisa?? Na wanamlipaje mtu kama huy kama just umebet kwa mtandao? Maana sidhan kama kwa simu pesa hii inalipika
Unatoa kiulainiE bwana eeh!!!na wanatoa kabisa?? Na wanamlipaje mtu kama huy kama just umebet kwa mtandao? Maana sidhan kama kwa simu pesa hii inalipika
Betting iko kisheria mkuu kama kampuni imesajiliwa hawawezi kataa kumlipa sababu sheria inasema unae bet uwe na miaka 18 hivyo ukiweka mzigo ni kwa hiari yako 😂😂😂 na mwenye kampuni pia amekubali kushawishika kwa hiari yake.E bwana eeh!!!na wanatoa kabisa?? Na wanamlipaje mtu kama huy kama just umebet kwa mtandao? Maana sidhan kama kwa simu pesa hii inalipika
Wala hawezi kataaUnatoa kiulaini
UefaNaona uzi unaendelea kutrend, sio weekend wala katikati ya wiki.
We vipi akatae nini anaponipiga mimi Huwa nakataa?, ukiwini ni chako ukilose ni chake full stop.Wala hawezi kataa
Kama ulianza 2015 umeliwa zaidi ya hizo, ni hela ndogo ndogo huwezi gundua.hOngera,mimi toka nianze 2015 nimeshaliwa kama 2mil na nakulaga vipesa vidogo tu 30,000 mpaka 70,000
[emoji3][emoji3]daaah asee watu wanabahati.Jamaa mmoja mwaka jana aliweka miambili akala M 13
Ahaha unamsema jamaa wa paripesa na demo acc yakeUnapewa hela yako tena yooooooote kabisa,labda ubetie vikampuni vya ajabu ajabu kama cjui paripesa,andika umeumia.
Hizo ndio gemu mnazozibetia mazee ni huzuni daaah ,nimewapa over 1.5 ila naona masihara kabisaHii mechi ya Celtic imepoa sana. Wazee wa cashout muwahi mapema.
Vaa njumu mkuuHizi game za mapema uefa kuna 3+ kweli hapa