Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

E bwana eeh!!!na wanatoa kabisa?? Na wanamlipaje mtu kama huy kama just umebet kwa mtandao? Maana sidhan kama kwa simu pesa hii inalipika
Betting iko kisheria mkuu kama kampuni imesajiliwa hawawezi kataa kumlipa sababu sheria inasema unae bet uwe na miaka 18 hivyo ukiweka mzigo ni kwa hiari yako 😂😂😂 na mwenye kampuni pia amekubali kushawishika kwa hiari yake.
 
Jamaa mmoja mwaka jana aliweka miambili akala M 13
[emoji3][emoji3]daaah asee watu wanabahati.

Sasa huyo jamaa.yangu machaguo yake hatari mfano Liverpool vs Leicester anaipa leicester goal moja ipate unakuta odds 1.63, anakuja labda barca vs atletico madrid anaipa barca ishinde first half na second half unakuta ni odds 2.5, unakuta man city vs arsenal anaweka GG and over 3.5 odds kama 3.5 hivi .

Inshort jamaa huwa na machaguo magumu sana
 
Hii mechi ya Celtic imepoa sana. Wazee wa cashout muwahi mapema.
Hizo ndio gemu mnazozibetia mazee ni huzuni daaah ,nimewapa over 1.5 ila naona masihara kabisa
Screenshot_20241210_212721_Flashscore.jpg
 
Back
Top Bottom