Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mwenye uelewa na hii option tafadhali
Hiyo maana yake ni kwamba kuanzia wakati wowote wa mchezo ucahague matokeo yanayoweza kupatikana wakati mchezo unaendelea

Mfano ukichangua 1-0 maana yake ni lazima home team aanze kufunga ili score board isome 1-0 hata kama akiendelea kufunga na mwisho ikawa 3-2
Na ikiwa Away ataanza kufunga ni lost kwasababu hakuna muda ambao score board itasoma 1-0

Ukichagua 2-2 maana ya ni lazima ndani mchezo itokee score board inasoma 2-2 hata kama game itakwisha 4-2

Sijui kama nimeeleza vizuri
 
MKuu mimi sijui lolote lile kuhusu betting huwez amini, hata hii niliweka tu baada ya kutaka kujua hii kitu huwa inafanyaje kazi.
Sasa itabid unipe shule nikuelewe maana ya hayo machaguo nakadhalika kama hutojal
 
Sportybet

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


C982E2


πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Ila we jamaa toka jana unalalamika na 5k watu tunaweka single bet 100k unampa Barcelona na mbwa wale wanapita nayo shwaaaa na unakausha kama hakijatokea kitu
Mkuu unajua jamaa alisema ya uhakika alafu badae anasema ety kona wametoa droo hata wewe ungekubali..?
 
Sportybet


πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


A70720



EE9044



A4CB03



E78906

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…