Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Okay ngoja tuone
Mkuu kwa mujibu wa screenshot yako wewe umechagua option tofauti na tuliyokua tunajadili

Wewe umechagua option ya CORRECT SCORE ambayo inaamuliwa baada ya dk 90

Ukichagua 1-0 ni lazima baada ya dk 90 matokeo yasome 1-0

Kuna tofauti kati ya
Score during the match
Na
Correct score

Correct score ni moja option ngumu sana ndio maana unaona ina odd kubwa
Yaani utabiri baada ya game kwisha timu zitafungana ngapi ngapi
 
Mwanaume mwenye umri wa miaka 25, Nobert Mulwo ameshtua Familia yake na Maafisa wa upelelezi Nchini Kenya baada ya kubainika kuwa alijiteka na akajijeruhi kisha kudai fidia ya Ksh. 100,000 (takribani mil 1 na laki 8 za Kitanzania) ili kufidia mshahara wake wa Novemba alioupoteza kwenye kubeti.

Kwa mujibu wa CitizenTv Kenya, Familia ya Mulwo iliripoti tukio hilo katika Kituo cha Polisi cha Kajiado ikidai kuwa alitekwa nyara na Watu wasiojulikana waliokuwa wakitumia Gari aina ya Toyota Probox huko Kitengela usiku wa Alhamisi na baadaye Watekaji walituma ujumbe kwa Dada yake Mulwo wakidai kiasi hicho cha pesa kama fidia ya kumwachia huru.

Kwa lengo la kufanya madai yake yaonekane ya kweli Mulwo alijijeruhi kwa kutumia wembe akajifunga kwa kamba mikononi na miguuni na kufunga mdomo wake kwa bandeji zenye damu kisha akatuma picha za hali hiyo kwa Dada yake kama ushahidi wa ukatili wa Watekaji wake.

Hata hivyo Maafisa wa upelelezi walifuatilia na kumkuta Mulwo akiwa katika Nyumba ya kulala Wageni ya Mutuku Lodgings pia walibaini kuwa Mulwo mwenyewe ndiye aliyepanga njama hiyo kwa kushirikiana na Mshirika wake anayejulikana kwa Jina moja tu Ndolo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wapelelezi vitu vilivyokamatwa ni pamoja na shilingi za Kenya elfu 10,100,Simu aliyotumia kuwasiliana na Familia yake, Wembe aliotumia kujijeruhi na bandeji na sasa Mulwo anashikiliwa akisubiri kufikishwa Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES
 
Ujumbe wako ni upi mkuu, betting ni hatari kwa akili yako au? Fafanua.
 
Mkuu samahani naomba nielekeze hiyo nyingine ambayo tulikuwa tunajadili mchana
 
YOUNG AFRICANS
YOUNG AFRICANS
YOUNG AFRICANS

Wahini Oddssss zinashuka mpaka Asubuhi zitakuwa chini mnooo

Nimempa YOUNG AFRICANS over 0.5 ina 1.79πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Hizi kampuni zinamchukulia YOUNG AFRICANS Oya Oya

Napita na YOUNG AFRICANS goal lipatikane mazimaaaaaa
 
Mbona sportybet hawajaiweka hiyo match kuna nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…