oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
314E26 Sportbety
Yule boya poor mavi naomba asichukue hii code.
Yule boya poor mavi naomba asichukue hii code.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu apo umeweka correct sçore Yani matokeo yaishe kama ulivoweka apo , na sio ubao ukisoma hvo mzeeOkay ngoja tuone
Mkuu kwa mujibu wa screenshot yako wewe umechagua option tofauti na tuliyokua tunajadiliOkay ngoja tuone
Weka cod mkuu kesho nataka niweke lakiMwanaume Kama Jana ulichukua code humu kuna ambazo zimetoa,,SASA wewe kalia malalamiko na buku tano yako😀😀😀🤸🤸🤸
Ujumbe wako ni upi mkuu, betting ni hatari kwa akili yako au? Fafanua.View attachment 3176056Mwanaume mwenye umri wa miaka 25, Nobert Mulwo ameshtua Familia yake na Maafisa wa upelelezi Nchini Kenya baada ya kubainika kuwa alijiteka na akajijeruhi kisha kudai fidia ya Ksh. 100,000 (takribani mil 1 na laki 8 za Kitanzania) ili kufidia mshahara wake wa Novemba alioupoteza kwenye kubeti.
Kwa mujibu wa CitizenTv Kenya, Familia ya Mulwo iliripoti tukio hilo katika Kituo cha Polisi cha Kajiado ikidai kuwa alitekwa nyara na Watu wasiojulikana waliokuwa wakitumia Gari aina ya Toyota Probox huko Kitengela usiku wa Alhamisi na baadaye Watekaji walituma ujumbe kwa Dada yake Mulwo wakidai kiasi hicho cha pesa kama fidia ya kumwachia huru.
Kwa lengo la kufanya madai yake yaonekane ya kweli Mulwo alijijeruhi kwa kutumia wembe akajifunga kwa kamba mikononi na miguuni na kufunga mdomo wake kwa bandeji zenye damu kisha akatuma picha za hali hiyo kwa Dada yake kama ushahidi wa ukatili wa Watekaji wake.
Hata hivyo Maafisa wa upelelezi walifuatilia na kumkuta Mulwo akiwa katika Nyumba ya kulala Wageni ya Mutuku Lodgings pia walibaini kuwa Mulwo mwenyewe ndiye aliyepanga njama hiyo kwa kushirikiana na Mshirika wake anayejulikana kwa Jina moja tu Ndolo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wapelelezi vitu vilivyokamatwa ni pamoja na shilingi za Kenya elfu 10,100,Simu aliyotumia kuwasiliana na Familia yake, Wembe aliotumia kujijeruhi na bandeji na sasa Mulwo anashikiliwa akisubiri kufikishwa Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES
Mkuu uliwa underrate tabora wale sasa hivi wana kaupepo flani hivi binafsi nilimtangulizia goli mbiliDah AZAM yaani hata single bet nalia qmmk
Mkuu samahani naomba nielekeze hiyo nyingine ambayo tulikuwa tunajadili mchanaMkuu kwa mujibu wa screenshot yako wewe umechagua option tofauti na tuliyokua tunajadili
Wewe umechagua option ya CORRECT SCORE ambayo inaamuliwa baada ya dk 90
Ukichagua 1-0 ni lazima baada ya dk 90 matokeo yasome 1-0
Kuna tofauti kati ya
Score during the match
Na
Correct score
Correct score ni moja option ngumu sana ndio maana unaona ina odd kubwa
Yaani utabiri baada ya game kwisha timu zitafungana ngapi ngapi
Cjui kutengeneza mi nachukua zinazotumwa humu.Weka cod mkuu kesho nataka niweke laki
Hapa vipi wolf ana odds nane,,,, je' tumfuate?!! Ijapokuwa kwenye nafasi wamekaribiana sana so home advantage
Kimasihala tu atashinda uyoYOUNG AFRICANS
YOUNG AFRICANS
YOUNG AFRICANS
Wahini Oddssss zinashuka mpaka Asubuhi zitakuwa chini mnooo
Nimempa YOUNG AFRICANS over 0.5 ina 1.79👏👏👏
Hizi kampuni zinamchukulia YOUNG AFRICANS Oya Oya
Napita na YOUNG AFRICANS goal lipatikane mazimaaaaaa
Mbona sportybet hawajaiweka hiyo match kuna niniYOUNG AFRICANS
YOUNG AFRICANS
YOUNG AFRICANS
Wahini Oddssss zinashuka mpaka Asubuhi zitakuwa chini mnooo
Nimempa YOUNG AFRICANS over 0.5 ina 1.79👏👏👏
Hizi kampuni zinamchukulia YOUNG AFRICANS Oya Oya
Napita na YOUNG AFRICANS goal lipatikane mazimaaaaaa
Hatuna mpango wowote wa kumpoteza mwanachama..Hizi odds 7 za kesho mhindi akitoka nakunywa tindikali
nguvu ya 5kHuyu jamaa kashajificha ujueeee...
Sasa leo namtafuta tena kwa hali na mali an
😅🤣🤣Odd 10 mkuuHizi odds 7 za kesho mhindi akitoka nakunywa tindikali
Hizi odds 143 zilitiki alhamisi94B48B Sportybet
HongeraHizi odds 143 zilitiki alhamisi