Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila Mbet waduanzi, sema wana wateja wao hasa walioanza nao na ambao hawana mambo mengi, mie nilikuwa nawatumia zamani
 
Huyu itakua alidanganywa ni fixed games mimi sijawai kubet draw wala sitawai
Draw watu wanabet kama kuna mtaji wa kutosha hata ukikosa usilie, tena hapo umempiga kanji ndo unajifanya kucheza draw lakini sio hivi hivi (mie sana sana draw nikicheza huwa first half
 
jamani watumiaji wa Airtel mnatumia vpn gani kufungua Telegram? kwangu hakuna kitu
cc engineer Chief-Mkwawa
@mwl_rct
Download Thunder Vpn toka playstore

Ama

Download Tor Browser, hii ni browser kama ilivyo Chrome, Opera,Phoenix browser na nyinginezo lakini Ni POWERFUL BROWSER! (Road to dark web).... hii iko na vpn ndani yake,

ukiwa unatumia Tor browser huhitaji kuwa na Vpn yoyote, Site zote zilizofungiwa Tanzania na duniani kote hapa unazipata wazi kabisa kama kinyeo cha ngiri!
 
Mechi ya yanga na mazembe option ipi uhakika? Mechi imekaa kimtego sana
 
nhahahaahah.....dooh
 
Mechi ya yanga na mazembe option ipi uhakika? Mechi imekaa kimtego sana
Kwajinsi msimamo wa kundi lao lilivyo Yanga na Mazembe hawana plan nyingine zaidi ya USHINDI
Wote watafunguka kusaka ushindi, uwezekano wa magoli zaidi ni mkubwa

Both team to score 2.17
Yanga to score 1.7
Mazembe to score 1.26
Mazembe win 1.88
Total over 1.5 1.45

Kazi kwako kuamua

NB;
Mpira unadunda 😂
Yanga anaweza kubahatisha goli la mapema akapaki basi shughuli ikaishia hapo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…