Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Epl hizi timu ni ngumu sana kwa sasa kuzifunga mfululizo

Nottingham forest
Bournemouth
Fulham
Brentford


Hawa Everton wabishi sana pia nimeona game zao nne zilizopita
 
Leo ilikuwa siku ya kuzinyima timu kubwa ushindi

Timu kubwa za Geman France Hispania na England bila shaka zina ushirikiani wa karibu na hawa watu wa kamari
Nahisi kuna ukweli hapo Aisee betting kwa sasa haiko fair kabisa hata huyu Madrid nae leo sijui tu maana kikosi cha ajabu Yan kuchomoka ni ngumu! Mwaka 2015 nilipokuwa naanza Kubet siku za weekend timu kubwa zote zilikuwa za uhakika kushinda ila kwa sasa betting Yan unashangaa Arsenal yuko home anashindwa kutoa goli hata moja, mara liver dakika ya mapema kadi nyekundu mara psv kapigwa mara Bayern nae kapigwa mwisho tena Madrid nae anaweka kikosi cha kupigwa nayeye duuu betting ya sasa sio ya kuweka hela nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…