Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 568
- 1,028
Mimi kuna mkeka nimempa psv apate magoli mawili , nime cash out fasterLeo kazi ipo hata jembe langu psv leo anapelekewa moto hatari
Qmmk leo ni leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kuna mkeka nimempa psv apate magoli mawili , nime cash out fasterLeo kazi ipo hata jembe langu psv leo anapelekewa moto hatari
Mimi hata cash out hawaweki waliweka kabla ya game nikaacha nikijua psv jembe dahMimi kuna mkeka nimempa psv apate magoli mawili , nime cash out faster
Qmmk leo ni leo
Haya kama hukufuata ,,, jiliwaze na mechi ya mwisho hii ft 0:0 pyramid huyo angalau uambulie chochote kama uliogopa odds 100Usiseme hujaziona hizo
Niliufuta nikaongeza al hilal ashinde ngoja tuoneHaya kama hukufuata ,,, jiliwaze na mechi ya mwisho hii ft 0:0 pyramid huyo angalau uambulie chochote kama uliogopa odds 100
Tatizo lao wanaruhusi sana kufikiwa golini kwao,,,,,Epl hizi timu ni ngumu sana kwa sasa kuzifunga mfululizo
Nottingham forest
Bournemouth
Fulham
Brentford
Hawa Everton wabishi sana pia nimeona game zao nne zilizopita
eh odds si zitakuwa 800+ kama cyo bukuNiliufuta nikaongeza al hilal ashinde ngoja tuone
Mia nane na usheeE
eh odds si zitakuwa 800+ kama cyo buku
Naona mchawi pyramidE
eh odds si zitakuwa 800+ kama cyo buku
Nahisi kuna ukweli hapo Aisee betting kwa sasa haiko fair kabisa hata huyu Madrid nae leo sijui tu maana kikosi cha ajabu Yan kuchomoka ni ngumu! Mwaka 2015 nilipokuwa naanza Kubet siku za weekend timu kubwa zote zilikuwa za uhakika kushinda ila kwa sasa betting Yan unashangaa Arsenal yuko home anashindwa kutoa goli hata moja, mara liver dakika ya mapema kadi nyekundu mara psv kapigwa mara Bayern nae kapigwa mwisho tena Madrid nae anaweka kikosi cha kupigwa nayeye duuu betting ya sasa sio ya kuweka hela nyingiLeo ilikuwa siku ya kuzinyima timu kubwa ushindi
Timu kubwa za Geman France Hispania na England bila shaka zina ushirikiani wa karibu na hawa watu wa kamari