Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Tuishi humo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Second yellow haihesabiki kama ukiwa umebeti idadi za kadi. kama umeeka red card ipatikane kwny mchezo (haijalishi direct au 2 yellow cards, ili mradi kadi nyekunduSo kama uliweka no red card mkeka unatiki ama, second yellow card kwenye bet haihesabiki kama red?
Ushasema no red card , sa si red card imepatkana mzee apo umeliwa( labda km Kuna option ya NO direct red cardSo kama uliweka no red card mkeka unatiki ama, second yellow card kwenye bet haihesabiki kama red?
Nimekuelewa mkuu niliona jamaa ametiki mechi ya Chelsea na option ilikua no red card ndo nikapata mashaka, shukrani sanaUshasema no red card , sa si red card imepatkana mzee apo umeliwa( labda km Kuna option ya NO direct red card
View attachment 3177829
CHINA BASKETBALL 🏀
Code👉 HH1K4
📌Tumia Promo Code TIPS2424 Na Upate 300,000 Ya Bure Ukideposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Ebo!Betway 13547D9C odds 25, timu 13,miguu 26, Dhakari 23 Uwanjani!Kazi ni kwako!
Wimbi kubwa la kampuni za betting kudhamini timu hujiulizi ni kwanini?Kumekuwa na malalamiko mengi ya wakamalia kutokana na kulost mkeka, na wengi wakisema kwamba timu zinauza mechi , kampuni za kubeti zinanunua mechi , timu zinapanga matokeo na wengine wakihisi hadi kwenye ushirikina labda kampuni za kubeti zinatumia ushirikina , lakini sababu zote hapo si za kweli na hazina mashiko Wala uhalisia Bali zinakuwa ni hisia za pesa ya mkamaria inavouma kupoteza pesa pengine ata Kwa odd 1.01 inachana.
Wacha niwape sababu kuu mbili za kwanini mechi zinakuja na matokeo ya kushangaza na yasiyotegemewa na wengi ;
1. MPIRA KUDUNDA; hii inatokea pale timu inayopewa nafasi ya kushinda kupoteza mchezo. Unaweza Kuta favorite team inacheza na underdog mechi imeisha underdog kashinda 1-0 lakini unakuta favorite team imetawala namba imepiga on target 10+ lakini underdog kapata on target Moja tu na ndo imempa Hilo goli na mechi ikaisha hvo, apo ndo tunasema mpira umedunda.
2.WACHEZAJI SIO MAROBOTI; wachezaji hawawez cheza katika fomu ile ile katika Kila mechi , Kuna mechi watatumia energy kubwa na Kuna mechi watasevu energy kulingana na upinzani wa timu wanayocheza nayo , ndomana Kuna siku watashinda 8 na siku hawatofunga goli hata Moja.
Pia Kwa kumalizia , kwenye betting ni kuwa mvumulivu tu Kwa kuwa hakuna matokeo ya uhakika ndomana ata odd 1.01 inachana ,michezo Huwa Ina matokeo ya kistaajabisha na kuvunja moyo , inachotakiwa ni kubeti kistaarabu kiwango chako Cha ziada unachomudu kupoteza. NB usibetie pesa Yako ya mwisho kabisa a muhimu , mana unaweza ukasema Leo timu Fulani lazma washinde ukaweka pesa kubwa , kumbe wameenda kutafuta sare tu hawana shida sanà na matokeo ya ushindi.
Ukiliwa pesa Yako tulia acha kupiga kelele zisizo na msingi kwamba mechi zimeuzwa , mnafikiri mechi kupangwa matokeo ni kama kugawa maandazi au , timu ZOTE mbili zikubaliane kupanga matokeo , uongozi wa timu , na marefa , makocha , ko wote hao wanapewa shngap, haiingii ata akilini , huo ni ulimbukeni we unataka Kila siku Bayern awe anashinda tu milele ndo mana unakuja kulalamika habari za Bayern kuuza mechi. Na hizi stori za mechi kuuzwa zinazungumzwa na wanaobeti Wala huwezi Kuta ambaye Huwa habeti akaongea upuuzi huo.
Anyway tuseme mechi zinauzwa sawa tufanye ni kweli , je Kuna timu itashinda mechi zake zote za ligi bila kufungwa au ata kutoa sare? Ndomana nkasema wachezaji sio maroboti
Kaingia kwenye mfumo leoBesiktas oyeeeeeeee
Hatari tupuKaingia kwenye mfumo leo
Hatari tupuKaingia kwenye mfumo leo
Kila mtu ana Bahati na options zakeMsimu huu tubadilike hizi market za win sijui over hamna kitu na sio kwamba timu zinauza mechi ila nw timu nyingi zina uwezo kipesa zinasajili wachezaji bora tabora kampiga azam,yanga, singida kwa sababu ya top player na ulaya hivo hivo nw pale england kibonde ni soton tu mwingine yyt anakupiga safi.tuchange market tujaribu zingine .
View attachment 3178227