Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20241216-091912.jpg

Tuishi humo....
 
DU BORA NIMEOKOA PESA YANGU YA JANA 💥
 

Attachments

  • Screenshot_20241216-142809_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241216-142809_SportyBet.jpg
    155.6 KB · Views: 2
View attachment 3177829
CHINA BASKETBALL 🏀

Code👉 HH1K4

📌Tumia Promo Code TIPS2424 Na Upate 300,000 Ya Bure Ukideposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424
gd1swc.jpg

BOOOOOOOMMMM ✅✅✅✅✅💯💯💯✅✅📌💯✅

360000 IS HOME

📌Jisajili PariPesa Hapa Uanze Kushinda Nasi 👇.

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Na Upate
300,000 Bure Ukideposit.
 
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wakamalia kutokana na kulost mkeka, na wengi wakisema kwamba timu zinauza mechi , kampuni za kubeti zinanunua mechi , timu zinapanga matokeo na wengine wakihisi hadi kwenye ushirikina labda kampuni za kubeti zinatumia ushirikina , lakini sababu zote hapo si za kweli na hazina mashiko Wala uhalisia Bali zinakuwa ni hisia za pesa ya mkamaria inavouma kupoteza pesa pengine ata Kwa odd 1.01 inachana.
Wacha niwape sababu kuu mbili za kwanini mechi zinakuja na matokeo ya kushangaza na yasiyotegemewa na wengi ;
1. MPIRA KUDUNDA; hii inatokea pale timu inayopewa nafasi ya kushinda kupoteza mchezo. Unaweza Kuta favorite team inacheza na underdog mechi imeisha underdog kashinda 1-0 lakini unakuta favorite team imetawala namba imepiga on target 10+ lakini underdog kapata on target Moja tu na ndo imempa Hilo goli na mechi ikaisha hvo, apo ndo tunasema mpira umedunda.
2.WACHEZAJI SIO MAROBOTI; wachezaji hawawez cheza katika fomu ile ile katika Kila mechi , Kuna mechi watatumia energy kubwa na Kuna mechi watasevu energy kulingana na upinzani wa timu wanayocheza nayo , ndomana Kuna siku watashinda 8 na siku hawatofunga goli hata Moja.
Pia Kwa kumalizia , kwenye betting ni kuwa mvumulivu tu Kwa kuwa hakuna matokeo ya uhakika ndomana ata odd 1.01 inachana ,michezo Huwa Ina matokeo ya kistaajabisha na kuvunja moyo , inachotakiwa ni kubeti kistaarabu kiwango chako Cha ziada unachomudu kupoteza. NB usibetie pesa Yako ya mwisho kabisa a muhimu , mana unaweza ukasema Leo timu Fulani lazma washinde ukaweka pesa kubwa , kumbe wameenda kutafuta sare tu hawana shida sanà na matokeo ya ushindi.
Ukiliwa pesa Yako tulia acha kupiga kelele zisizo na msingi kwamba mechi zimeuzwa , mnafikiri mechi kupangwa matokeo ni kama kugawa maandazi au , timu ZOTE mbili zikubaliane kupanga matokeo , uongozi wa timu , na marefa , makocha , ko wote hao wanapewa shngap, haiingii ata akilini , huo ni ulimbukeni we unataka Kila siku Bayern awe anashinda tu milele ndo mana unakuja kulalamika habari za Bayern kuuza mechi. Na hizi stori za mechi kuuzwa zinazungumzwa na wanaobeti Wala huwezi Kuta ambaye Huwa habeti akaongea upuuzi huo.
Anyway tuseme mechi zinauzwa sawa tufanye ni kweli , je Kuna timu itashinda mechi zake zote za ligi bila kufungwa au ata kutoa sare? Ndomana nkasema wachezaji sio maroboti
Wimbi kubwa la kampuni za betting kudhamini timu hujiulizi ni kwanini?
Barca ,psg official 1X patner
Arsenal betway
City,madrid sportbet,hadi basketball maajabu ni mengi timu inamaliza quarter na vikapu 3 .Ipo siku utakataa maneno yako mwenyewe
 
Msimu huu tubadilike hizi market za win sijui over hamna kitu na sio kwamba timu zinauza mechi ila nw timu nyingi zina uwezo kipesa zinasajili wachezaji bora tabora kampiga azam,yanga, singida kwa sababu ya top player na ulaya hivo hivo nw pale england kibonde ni soton tu mwingine yyt anakupiga safi.tuchange market tujaribu zingine .
IMG_20241203_182353.jpg
 
Msimu huu tubadilike hizi market za win sijui over hamna kitu na sio kwamba timu zinauza mechi ila nw timu nyingi zina uwezo kipesa zinasajili wachezaji bora tabora kampiga azam,yanga, singida kwa sababu ya top player na ulaya hivo hivo nw pale england kibonde ni soton tu mwingine yyt anakupiga safi.tuchange market tujaribu zingine .
View attachment 3178227
Kila mtu ana Bahati na options zake

Hizo Win na Over unazosema kuna watu NDIO zinawatoa

Wapo Corners tuuu, wengine Bookings

So, options usioipenda wenzio wanaipenda Zaidi

Muhim ni kutambua maana ya Bahati Nasibu

Issues ya usajili sio sahihi,ukiingia kwenye mfumo hata ambae Hans usajili mzuri anakuambia ti Besiktas muda tu kachapwa na Team ya Mwisho wakati yeye yupo UEFA

Muhim vipigo vinaongeza uwezo wa kuhangaika

Kuna watu humu mpaka wanasema hawana Bahati na kampuni Fulani,aisee
Huu mchezo sio Siri,unauhusiano mkubwa mnoo na Afya ya akili zetu
 
Back
Top Bottom