Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushasema no red card , sa si red card imepatkana mzee apo umeliwa( labda km Kuna option ya NO direct red card
Nimekuelewa mkuu niliona jamaa ametiki mechi ya Chelsea na option ilikua no red card ndo nikapata mashaka, shukrani sana
 
DU BORA NIMEOKOA PESA YANGU YA JANA 💥
 

Attachments

  • Screenshot_20241216-142809_SportyBet.jpg
    155.6 KB · Views: 2

BOOOOOOOMMMM ✅✅✅✅✅💯💯💯✅✅📌💯✅

360000 IS HOME

📌Jisajili PariPesa Hapa Uanze Kushinda Nasi 👇.

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Na Upate
300,000 Bure Ukideposit.
 
Wimbi kubwa la kampuni za betting kudhamini timu hujiulizi ni kwanini?
Barca ,psg official 1X patner
Arsenal betway
City,madrid sportbet,hadi basketball maajabu ni mengi timu inamaliza quarter na vikapu 3 .Ipo siku utakataa maneno yako mwenyewe
 
Msimu huu tubadilike hizi market za win sijui over hamna kitu na sio kwamba timu zinauza mechi ila nw timu nyingi zina uwezo kipesa zinasajili wachezaji bora tabora kampiga azam,yanga, singida kwa sababu ya top player na ulaya hivo hivo nw pale england kibonde ni soton tu mwingine yyt anakupiga safi.tuchange market tujaribu zingine .
 
Kila mtu ana Bahati na options zake

Hizo Win na Over unazosema kuna watu NDIO zinawatoa

Wapo Corners tuuu, wengine Bookings

So, options usioipenda wenzio wanaipenda Zaidi

Muhim ni kutambua maana ya Bahati Nasibu

Issues ya usajili sio sahihi,ukiingia kwenye mfumo hata ambae Hans usajili mzuri anakuambia ti Besiktas muda tu kachapwa na Team ya Mwisho wakati yeye yupo UEFA

Muhim vipigo vinaongeza uwezo wa kuhangaika

Kuna watu humu mpaka wanasema hawana Bahati na kampuni Fulani,aisee
Huu mchezo sio Siri,unauhusiano mkubwa mnoo na Afya ya akili zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…