Wewe ndo unakumbuka leo sisi hizo market tushaachana nazo, japokua hata hizo zingine pia sio rahisi kupata ila kuna wepesi kidogo.Msimu huu tubadilike hizi market za win sijui over hamna kitu na sio kwamba timu zinauza mechi ila nw timu nyingi zina uwezo kipesa zinasajili wachezaji bora tabora kampiga azam,yanga, singida kwa sababu ya top player na ulaya hivo hivo nw pale england kibonde ni soton tu mwingine yyt anakupiga safi.tuchange market tujaribu zingine .
View attachment 3178227
View attachment 3178054
β½β½β½β½β½β½β½
Codeπ JXRQ4
πTumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Mechi ya Orlando Pirates imeahirishwa
Brother besiktas hao wafe tu na wachezaji wao.....kanilistisha laki 9 hivihvi naiona...yeye tu ..nilitukana matusi yote duniani..Hadi kilughaKila mtu ana Bahati na options zake
Hizo Win na Over unazosema kuna watu NDIO zinawatoa
Wapo Corners tuuu, wengine Bookings
So, options usioipenda wenzio wanaipenda Zaidi
Muhim ni kutambua maana ya Bahati Nasibu
Issues ya usajili sio sahihi,ukiingia kwenye mfumo hata ambae Hans usajili mzuri anakuambia ti Besiktas muda tu kachapwa na Team ya Mwisho wakati yeye yupo UEFA
Muhim vipigo vinaongeza uwezo wa kuhangaika
Kuna watu humu mpaka wanasema hawana Bahati na kampuni Fulani,aisee
Huu mchezo sio Siri,unauhusiano mkubwa mnoo na Afya ya akili zetu
Dhakari 23 mana yake nn mkuuBetway 13547D9C odds 25, timu 13,miguu 26, Dhakari 23 Uwanjani!Kazi ni kwako!