kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 530
- 946
Ngoja nisikilizie treni langu , girona over 0.5 Milan over 0.5
Noma sana huyu jamaa ametoa magoli mwishoni Tena 0-2Ndugu wazee, kubet sometimes ni USENGE. Tazama hawa wapuuzi nimewapa OVER 2.5, yaani wale nisiowapa ndio wametoa lakini hii timu niliyoibetia imenilaza na viatu. Pambaf!
View attachment 3181240
1xbet iliwahi kuwa shughuli kwenye kutoa hela. Ukishinda tu wanaanza kukwambia verify your account. Sasa hapo utaambiwa uscan vitambulisho, any government doc, niliambiwa ni watumie matakataka mengi including nyaraka yoyote inayo onesha malipo nayofanya kwenye bill utilities nikasema huu upumbavu nikatemana nao.Issue sio kodi
Nimeku quote wewe umemjibu mdau kwamba Paripesa wameongea na serikali eti kodi watalipa wao. Ndio nika kuuliza wameongea na serikali ipi? Na kwa usajili upi?.... badala ya kujibu unaanza porojo
Speaking of ku HADAA
YES unahadaa watu hapa, hii sio mara ya kwanza kila siku unakuja na NGONJERA MPYA
Kuna siku nilikubana ukajitia unadeposi kwa Astropay siku nyingine tena ukaja na ngonjera za Bitcoin
Been in this fucking game for quite long time..... NAJUA NINACHOANDIKA
Nayajua MACHUNGU ya mkamalia ambaye kashaliwa sana hela zake halafu siku akibahatisha anaanza kusumbuliwa utadhani anaomba kazi ........ it is very very frustrating
Hao wasengë wamenidhulumu hela yangu nyingi sana, waliniambia hadi nitume picha nimeshilia vitambulisho vyangu.
Siwe kukaa kimya kuona mtu anaingizwa choo cha kike
Asilimia 99 ya watu wanaolalamika kutoa hela hapa jf ni mbwa wanaoitwa Paripesa
Auckland uko kashakula 3-0 first half , ameshinda gemu 6 draw 1 hajalost ila leooo Bora ata nlimwomba goli tu ata apigwe mia hainihusu, wikiendi inaanza hvoLeo kumekucha namna hii
Unavutiwa nini na game za nezaNdugu wazee, kubet sometimes ni USENGE. Tazama hawa wapuuzi nimewapa OVER 2.5, yaani wale nisiowapa ndio wametoa lakini hii timu niliyoibetia imenilaza na viatu. Pambaf!
View attachment 3181240
Msaada wa hii code kwenda sportybetView attachment 3181429
12 Odds On PariPesa Today.
Code>>> 9GR55
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit Leo.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Kuna baadhi ya option nimeweka humo hazipo Sportybet mkuu. Kwa mfano at least one team will score over, haipo Sportybet.Msaada wa hii code kwenda sportybet
Mie nimempa Man City Win or DrawLeo man City kapewa odd mlima 2.19,
Atatoboa kweli kwa Aston villa?
NDIO BettingHii game ya Bayern ningejua ningeweka GG odds nzuri