Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii game ya Bayern ningejua ningeweka GG odds nzuri
NDIO Betting
Mwisho inakuwa NINGE NINGE

Mie niliipa Bookings over 2.5,walichapana kiatu zikafika bookings 8 🤣🤣🤣

Screenshot_20241221-110644.png
 
Tutoe sababu za kimsingi ni kimbinu kwamba kwanini leo Man city ashinde mbele ya Aston villa wakat tunaangalia mpira kabisa Aston villa Yuko Moto sahz japo ni timu ndogo ila Man city hayuko vizuri na kusema kwamba leo man city hawezi kukubali kupoteza gem nne mfululizo bila kuweka kikosi Kizuri na kucheza kwa kujituma leo hatoboi! Leo hata kumpa Arsenal ashinde kwa crystal palace bado ni ngumu tu na barca bila Yamal leo atapigwa tu na Athletico Madrid
 
Kwa takwimu: City ana uwezekano mkubwa wa kupoteza mchezo. Arsenal anakufa pia leo
 
Back
Top Bottom