Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu alikuwa anasema man city anashinda sijui blah blah kibaooo, ata man city angekua yupo fiti ila Kwa Aston villa gemu ngumu , sasa na hapa Hali anayopitia lazma vila watumie mwanya huo kusaka top four
 
game ya city, 1st half koma 7, 2nd half kona 2......

anyway, hii game bahati yangu niliikwepa,
 
Back
Top Bottom