Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
ArsenalKwa takwimu: City ana uwezekano mkubwa wa kupoteza mchezo. Arsenal anakufa pia leo
Man city
Brentford
Brighton
Zote zinatoa GG leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ArsenalKwa takwimu: City ana uwezekano mkubwa wa kupoteza mchezo. Arsenal anakufa pia leo
KoteJamani ni kwangu tuu Vodacom wamegoma kuweka balance kwenye account ama?
kwenye sporty bet ipo kwenye special.Kuna baadhi ya option nimeweka humo hazipo Sportybet mkuu. Kwa mfano at least one team will score over, haipo Sportybet.
Villa wamashambulia sana dakika za mwanzo naona walikua wanatafuta goli la mapema wawakate wenge kwanza cityOooh Manchester City hajubali kufungwa
Mapemaaaaaa sura Zinaanza kuwa A Marehem Bibi zetu
Inaeza ikaisha 2 bilaCity apate goli Sasa iwe GG 🥱
Tajiri c uweke kwa mtandao mwingineVodacom kashikilia pesa mpaka game zimeanza
Hii game lazima itoe GGCity apate goli Sasa iwe GG 🥱
Tajiri c uweke kwa mtandao mwingine
Hapana ni tofauti mkuu. Kumbuka hiyo option inasema at least one team will score over, hapo haijalishi team gani itafunga goli mbili.kwenye sporty bet ipo kwenye special.
ni sawa na Home/Away over/under
Ndiko inaelekea kuwa hivyo wale over 1.5 washamalizana nayo wale wa city leo hakubali shauri yaoInaeza ikaisha 2 bila
Wengi tuliweka GG , Sema sio Bahati, City now yuko Vijaya sanaNdiko inaelekea kuwa hivyo wale over 1.5 washamalizana nayo wale wa city leo hakubali shauri yao
ImetoaWengi tuliweka GG , Sema sio Bahati, City now yuko Vijaya sana