Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Pole sana, alichokifanya City ni Demo ya anachoende kukifanya Arsenal.Nimeona kumpa mancity ashinde kwa odds 2.12 bado haitoshi. Nimempa ashinde kwa ngumu kumeza odds 3.34View attachment 3181665
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, alichokifanya City ni Demo ya anachoende kukifanya Arsenal.Nimeona kumpa mancity ashinde kwa odds 2.12 bado haitoshi. Nimempa ashinde kwa ngumu kumeza odds 3.34View attachment 3181665
Nilisema hili asubuhi. Bado Arsenal.Kwa takwimu: City ana uwezekano mkubwa wa kupoteza mchezo. Arsenal anakufa pia leo
Mkuu, kushinda siyo kukubali au kukataa ila ni mbinu na uwezo. City yuko hapo alipo kwa sababu za kiufundi na si maamuzi. Tumsubiri Arsenal sasa...Man City hawezi kukubali kukosa matokeo mechi ya nne mfululizo.Leo lazima afanye miujiza.View attachment 3181571
Arsenal hipi hii ya bukayo Saka au unaongelea ya Congo Brazzaville ? Ahahahha Arsenal 3 - 1 PalacePole sana, alichokifanya City ni Demo ya anachoende kukifanya Arsenal.
Arsenal atakufurahisha leoMkuu, kushinda siyo kukubali au kukataa ila ni mbinu na uwezo. City yuko hapo alipo kwa sababu za kiufundi na si maamuzi. Tumsubiri Arsenal sasa...
We acha tu! Alivyopigwa 1 nikamfata tena maana odds zilikuwa zimeshiba nayo kuchemka.Pole sana, alichokifanya City ni Demo ya anachoende kukifanya Arsenal.
Navutiwa na ufungaji wao wa magoli mengi mkuu.Unavutiwa nini na game za neza
Zimekataaa zote ... Betting sio makalio kwamba kila mtu anayo ...Odds za mancity zipo uchi kabisa halafu baadaye tutalalamika zimetuchania timu zenye odds 1.35.
1. Man city win
2. Man city win 1H
3. Man city win HT/FT
4. Man city win &over 1.5
Amefanya kweli moujiza .....Man City hawezi kukubali kukosa matokeo mechi ya nne mfululizo.Leo lazima afanye miujiza.View attachment 3181571
sijaelewa kwamba hapa elfu 30 imeenda? pole mkuuNimeona kumpa mancity ashinde kwa odds 2.12 bado haitoshi. Nimempa ashinde kwa ngumu kumeza odds 3.34View attachment 3181665
Hayo machaguo Hayapo sawa ...... Na kusema At least one team over 1.5...kwenye sporty bet ipo kwenye special.
ni sawa na Home/Away over/under
Labda mimi Sina bahati nao Huwa nikiwapa 1.5 hawatoiNavutiwa na ufungaji wao wa magoli mengi mkuu.
UholanziLabda mimi Sina bahati nao Huwa nikiwapa 1.5 hawatoi
Afadhali umejileta, nitakukumbusha baadae.Arsenal hipi hii ya bukayo Saka au unaongelea ya Congo Brazzaville ? Ahahahha Arsenal 3 - 1 Palace
City kakata upepo, mpaka sasa wachezaji kisaikolojia ni kama wamekubali msimu umeisha so wanasubiri msimu ujao. Tusitegee maajabu yoyote kwa City msimu huu.We acha tu! Alivyopigwa 1 nikamfata tena maana odds zilikuwa zimeshiba nayo kuchemka.
Waambie hao...usiku utasikia milio humu.Hivi crystal palace mnawachukulia wanyonge sana eeh?
Waambie hao...usiku utasikia milio humu.