kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 623
- 606
Okay poaWanabahatisha tu so unachotakiwa ni kuangalia mechi husika (open in chrome ) halafu uangalie head to Head, last games ni
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay poaWanabahatisha tu so unachotakiwa ni kuangalia mechi husika (open in chrome ) halafu uangalie head to Head, last games ni
👇
AFL NA win Draw win wanachambua vizuri zaidi hasa kipengele cha sure betMkuu hivi hawa ni wakweli au nao wanabahatisha tu
SOry ni AFR sio Afl > A Footbal ReportAFL NA win Draw win wanachambua vizuri zaidi hasa kipengele cha sure bet
Hata machaguo,, matatu hamna.¿Hakuna
Hakuna
Hakuna! Ndiyo maana unabahatisha! Ila yapo ya kupunguza risk ya kupoteza na siyo kushinda!HIVI NI MACHAGUO YAPI
BASI YANAYOPUNGUZA,, ASILIMIA ZA KUPOTEZA NITAJIE!Hakuna! Ndiyo maana unabahatisha! Ila yapo ya kupunguza risk ya kupoteza na siyo kushinda!
Mfano kutabiri mechi moja mpaka tatu ni rahisi zaidi kuliko mechi tatu na kuendelea! Odds zinapoongezeka asilimia za kushinda hupungua!
Nb:Hakuna mtaalamu wa betting!
HAPO ILIYOSALAMA NI IPI,, UNDER AMA.¿Over na under
Unataka ya leo auHata machaguo,, matatu hamna.¿
HIVI NI MACHAGUO YAPI KATIKA FOOTBALL BETTING AMBAYO YANA ODDS CHACHE LAKINI KUTIKI NI ASILIMIA NYINGI.¿
Ahahahaha,, ni kweli kabisa ROZELA.Tafuta hela utagongewa mke.
NDY MKUU NISAIDIE,, NATAKA ODDS MBILI TU.Unataka ya leo au
Ahahahaha!Odds ndogo ndio zinampa kanji utajiri.....kuwa makini nazo