Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asa
Asante asa,, nitafanyia kazi.
 
Galsport hawa, yaani machaguo mengi mpaka unachanganyiwa
 
Haya machaguo nazani yanawekwa baadhi ya match na si zote,si ndio?
 
YOUNG AFRICANS vs DODOMA Jiji

Ipo tayari SPORTYBET πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Wahi mapemaaa otherwise kesho Odds zinashuka mnoo na options zitabanwa mnoo

Mie nimeisha set mkeka mpaka Alkhamis tuliiii
 
Bado una safari ndefu sana kwenye betting, safari njema.!
 
apa niliingia kingi nmepunwa mia tano yangu ya bia
Imechana moja mkuu. Ndiyo betting ilivyo mkuu. Hakuna mwenye uhakika kwenye betting kwa sababu hatuchezi sisi. Mara zote Betia kiasi ambacho hutaumia ukipoteza. Usibetie kodi, hela ya kula au pesa yoyote ya kufanyia mambo muhimu. Alamsiki
 
Du kukuza mitaji ni muhimu
 

Attachments

  • Screenshot_20241223-214251_SportyBet.jpg
    140.8 KB · Views: 5
YOUNG AFRICANS vs DODOMA Jiji

Ipo tayari SPORTYBET πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Wahi mapemaaa otherwise kesho Odds zinashuka mnoo na options zitabanwa mnoo

Mie nimeisha set mkeka mpaka Alkhamis tuliiii
KUMBUKA YANGA HAWAKO VIZURI BADO USIDANGANYIKE NA HIZI MECHI MBILI WALIZOCHEZA DAR KWENYE KIWANJA KIZURI
VS DODOMA JIJI WATKUWA UGENINI KIWANJA KIBOVU NA MWALIMU MBISHI MEXIME
 
Betting zako zote unakuzaga mtaji tu
Kukuza mitaji ni lazima ...najiunga bando la net la 5000 kila siku kwa kukuza mitaji nabeti hadi matreni ya ngumu kumeza kwa kukuza mitaji kama hapa nimepiga bia mbili faida ya kukuza mtaji bet raha sana ukiwa na akili
 

Attachments

  • Screenshot_20241223-214251_SportyBet.jpg
    140.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…