JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
β οΈπ₯π₯π₯πMalizia odd 10 zilizobaki, timu 11
BETWAY 13C57749
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
β οΈπ₯π₯π₯πMalizia odd 10 zilizobaki, timu 11
BETWAY 13C57749
Basketball inatoa au ndiyo kujikanyaga?unatumia uzoefu gani
Ligi zinazotoa magoli nyingi ni timu gani mkuuUholanzi
Ujerumani
Norway
Sweden
Finland
Croatia
Switzerland
....ligi zao kutoa goli mbili ni kugusa tu...mara chache sana hawatoi goli mbili.
Tatizo la afya ya akili linakusumbua
πHAYA NDIYO YALE MATOTO MASENG3 YANAYO SEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU ππππππ
Simba GG au mwombe mpinzani wa simba bao moja over 0.5Muombe Simba bao moja 1half
Odd 1.35
Muombe Mamelody bao moja tu
Odd 1.15
Mpinzani wa Zamelek mzuie asipate bao 2
Odd 1.2
Muombe Orando Pirates bao moja tu
Odd 1.11
Jilipue kwa kumdhamini ushindi Asec Mimosa
Odd 1.55
JUMLA ODD 3+
Tia mzigo kisha agiza kinywaji bariidi usubirie maajabu ya matokeo ili uje kunishukuru/laumu baadae
Always stake what you can afford to lose
ππ I WISH YOU MERRY XMASS IN ADVANCE WAKAMALIA WOTE ππ
KUMBUKA YANGA HAWAKO VIZURI BADO USIDANGANYIKE NA HIZI MECHI MBILI WALIZOCHEZA DAR KWENYE KIWANJA KIZURI
VS DODOMA JIJI WATKUWA UGENINI KIWANJA KIBOVU NA MWALIMU MBISHI MEXIME
Kwa mfano yanga anacheza na simba Leo saa 10, wewe unataka kumbetia yanga ukiamini atashinda lakini ukawa na mashaka labda wanaweza draw au anaweza fungwa kwa hisia zako unahisi atafungwa goli labda mbili au tatu ili KUZUIA hisia hizi sisije kuwa kweli tunaweza tumia handicap au asian handicapNingependa atokee mtu mmoja aielezee kwa kina handcap and Asian handcap hakika hii siijui kabisa
Kamwombe ser inboxWakuu naombeni odd 100 tu nataka nijilipue
Lengo kufikisha shingapi kama mtajiKukuza mitaji ni lazima ...najiunga bando la net la 5000 kila siku kwa kukuza mitaji nabeti hadi matreni ya ngumu kumeza kwa kukuza mitaji kama hapa nimepiga bia mbili faida ya kukuza mtaji bet raha sana ukiwa na akili
Tumia akili hata nikiwa na mtaji wa sh 8000 naweza kutumia sh4000 kuchezea matreni kama 6 na ngumu kumeza kama 4 kisha na sh 4000 iliyo baki ni kukuzia mitaji hapo hapo hiyo sh 4000 naweza kukuza mtaji ndani ya masaa machache ikawa elfu kumi nikaongeza tena matreni kutoka 6 hadi 14 na ngumu.kumeza kutoka 4 hadi 10 kisha pesa inayo baki nakuza tena mtaji kwa siku naweza kubeti mikeka ya zaidi ya sh elfu 28000 kwa mtaji wa sh 4000 tu na ukakuta nina hakiba ya hata elfu7000 huku nina matreni hata 20 nsyasubiri kula mamilioniLengo kufikisha shingapi kama mtaji