RAJA CASABLANCA sio kwamba hujui
NDIO Team yupo Pape Sakho 🤣🤣🤣🤣
Kimya kimya
Huwa napenda kucheza timu mbili tu. Leo sijui tamaa gani iliniingia, utafiti wangu ulimkataa Raja pamoja na AS Far Rabat.
RAJA CASABLANCA sio kwamba hujui
NDIO Team yupo Pape Sakho 🤣🤣🤣🤣
Kimya kimya
BooomOdds taraa (5) Betway
13D41575
Booom
Kwa hyo mamechi yote hayo 18 yenye odds 192 ndo umeweka stake hyo ya laki moja na elfu tano si ndio boss?View attachment 3185377
Code>>> TMYM6
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Mbona mi nimekopi nimeweka buku imekuja 198,000 shida Nini !?? Weka ulicho na uwezo nacho kupuluswa Mzee ... Kama kampuni hauiamini pia unaachana nayo dhambi Nini mzEe baba!??Kwa hyo mamechi yote hayo 18 yenye odds 192 ndo umeweka stake hyo ya laki moja na elfu tano si ndio boss?
Ndiyo mkuu nimeweka hiyo. Lakini pia stake kulingana na uwezo wako na weka pesa ambayo upo tayari kupoteza. Usibetie hela ya kula, kodi au kuchukua mkopo ili ubetie. Usiige stake ya mtuKwa hyo mamechi yote hayo 18 yenye odds 192 ndo umeweka stake hyo ya laki moja na elfu tano si ndio boss?
Asante mkuu. Mtu siyo lazima ustake kama alivyo stake mwingine.Mbona mi nimekopi nimeweka buku imekuja 198,000 shida Nini !?? Weka ulicho na uwezo nacho kupuluswa Mzee ... Kama kampuni hauiamini pia unaachana nayo dhambi Nini mzEe baba!??
Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwaKwa hyo mamechi yote hayo 18 yenye odds 192 ndo umeweka stake hyo ya laki moja na elfu tano si ndio boss?
Mkuu Paripesa Hawana Kodi. Hebu Weka Stake Yako halafu uone kama kuna kodi ya Serikali. Na kuna wengine wengi wamestake na hakuna makato ya kodi ya Serikali. Na stake kila siku hakuna makato ya kodi. Wewe unatumia PariPesa lakini? Kama unatumia, hebu tengeneza Mkeka wowote, stake kisha niambie kama kuna kodi.Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Bado unatuma barua kupitia shirika la posta!?Code za betpawa hatuzioni maofisa
Mi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
SecondedMi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...
Sasa mfano huyu ameleta mkeka ama Kodi kampuni ambayo hauna mfano "paripesa" ... Chukua code Nenda paripesa weka code load mkeka angalia machaguo yake ...ukiridhika nayo na kwenye kampuni unayotumia machaguo hayo yapo Nenda kayachague ucheze hajakulazimisha ujisajili paripesa
Nna accounts
-betwinner
-betway
-sokabet
-Mkekabet
-galsport
-premierbet
-parimatch
-playmaster
-1xbet
-helabet
-22bet
-Sportybet
-Meridianbet
-M-bet
n k....
Tatizo weeeengiiiiii mmekuwa watu wa kupinga zaidi baada ya kuwekeza katika maarifa ya Nini kinatumwa ..sio kila kinachotumwa ukibebe kama kilivyo ndio mwisho wa siku mnamjia mtu Kwa hasira .....
Ndio maana wa wakongwe humu ..tunapita tu kusalimia mara moja Moja unatoa tips (Kwa mapenzi yako chagua kadhaa au chukua kokoro lote) ...ukiwin fresh tukipizwa pia usilaumi.
Adios.
Daaa...sasa Babu vitu vingine inaweza kuwa chuki BINAFSI ...nikuache naye myamalize....kuhusu Kodi ..Kodi hakuna ..mkeka niliokopi ni huo hapo na muda niliobet usidhani nimeubeto Sasa hivi .... Punguza hizo mbanga Mzee unajibania mwenyewe Nyota ..kunjua moyo huo....Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Kwa kweli Kwa Soton hapo .....wali mchafu ushukuriwe....504C8C1 (sprtybt) wachezaj wamevimbiwa pilau