Sio kweli mkuu…mi nipo mkoa wa mara ndio maana nahitaji namba ya lucas
kwenye withdrawing suala la mkoa linamata
Hamna app ya kubetia ambayo sina.Bado unatuma barua kupitia shirika la posta!?
Betpawa ni Shirika la posta!
Zama zimebadilika, nyumbulika kulingana na nyakati.
Aisee watu mna pesa Yani laki Tano ndo ya kujaribuWAZEE WA LIVE TUJARIBU HAPA.
View attachment 3185692Tukila tunakula pamoja tukipigwa tunapigwa pamoja
Nilimuomba draw tuu lkn ykhiiii😭 chelsea
wachezaj wamevimbiwa pilauNilimuomba draw tuu lkn ykhiiii
kumbuka n bahati nasibuDAH KUBET NI KAZI KAMA KAZI NYINGINE ASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE DUH
NGOJA NIKAlale tuuuuuuuuuuukumbuka n bahati nasibu