Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Facebook, Instagram, Twitter, telegram kote huko hayupo?jamani nilishaomba sana namba ya LICAS SIGALLA lkn sijawahi kufanikiwa kuipata ,ni wakala wa 1xbet
siwahi kuona mkuuFacebook, Instagram, Twitter, telegram kote huko hayupo?
Sawa, mtumie jamaa anaitwa Romano yuko pouwa sana. Btw namba zake sina, nilizifuta baada ya kuachana na 1xbet. Huko fb, telegram Insta yuposiwahi kuona mkuu
Hapo ndio mchawi alipo... Man City anapata penati na anakosa ..mpaka Sasa nyaunyau ..mamamaae.... Betting ni kiboko sana japo muda Bado ...lakini man City....mmmmhhhhhhhmmhhhhhhhhOyaa.... Timu yeyote tu ipate goli mbili.... Ngoja waanze kucheza tuone maajabu ..... Siku njema ya maboksi, makonde,masumbwi na Leo tusimbwike na mhindi/mrusi.
View attachment 3185369
Sio kweli mkuu…mi nipo mkoa wa mara ndio maana nahitaji namba ya lucas
kwenye withdrawing suala la mkoa linamata
Hamna app ya kubetia ambayo sina.Bado unatuma barua kupitia shirika la posta!?
Betpawa ni Shirika la posta!
Zama zimebadilika, nyumbulika kulingana na nyakati.
Aisee watu mna pesa Yani laki Tano ndo ya kujaribuWAZEE WA LIVE TUJARIBU HAPA.
View attachment 3185692Tukila tunakula pamoja tukipigwa tunapigwa pamoja