Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huna akili unakuza mtaji Kila siku umesikia hii biashara ya genge
We fara kukuza mtajaji maana yake kubetia hela ya kanji ....au unadhani ni kitu kipya ...ukisikia kubetia hela ya kanji ndiyo huko huko kukuza mtaji
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-223246_SportyBet.jpg
    128.5 KB · Views: 4
Fiorentina LOL!, Naomba Mkeka mmoja uboom ili Kufidia, maana huyu Fiorentina anataka nisilale usingizi...
 
Ndio maana nikasema wewe akili huna ni kizibo
Bila shaka wewe ni house boi ya janjibai...unsjua mbinu zangu zitamfanya kanji kukosa pesa hivyo unaniona nuksi 😅😅😅..
Tunaendelea kukuza mitaji mungu si shekh.mandazi adriz
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-224608_SportyBet.jpg
    131.8 KB · Views: 3
Bila shaka wewe ni house boi ya janjibai...unsjua mbinu zangu zitamfanya kanji kukosa pesa hivyo unaniona nuksi 😅😅😅..
Tunaendelea kukuza mitaji mungu si shekh.mandazi adriz
Oya unazingua mwamba , usinitag kwenye mambo haram.
 
Kuna baadhi ya option hapo sijazijua vizuri
Draw or both team to score hii kwenye betpawa ipo? Msaada wa hizi option, hiyo goal range vipi pia,away or under ,away or over,Ht/Ft & U/O,double chance both team to score,hone win to nill,na ishu za handcap please kama unaweza fafanua vizuri hizo chaguo ikipendeza zote
 
Bila shaka wewe ni house boi ya janjibai...unsjua mbinu zangu zitamfanya kanji kukosa pesa hivyo unaniona nuksi 😅😅😅..
Tunaendelea kukuza mitaji mungu si shekh.mandazi adriz
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥kubetia pesa ya kanji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…