Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Muombe Simba bao moja 1half
Odd 1.35

Muombe Mamelody bao moja tu
Odd 1.15

Mpinzani wa Zamelek mzuie asipate bao 2
Odd 1.2

Muombe Orando Pirates bao moja tu
Odd 1.11

Jilipue kwa kumdhamini ushindi Asec Mimosa
Odd 1.55

JUMLA ODD 3+

Tia mzigo kisha agiza kinywaji bariidi usubirie maajabu ya matokeo ili uje kunishukuru/laumu baadae

Always stake what you can afford to lose

πŸŽ„πŸŽ…I WISH YOU MERRY XMASS IN ADVANCE WAKAMALIA WOTE πŸŽ„πŸŽ„
 
Simba GG au mwombe mpinzani wa simba bao moja over 0.5
Mamelody win
Young africa win
Hapo odds ngapi
 
KUMBUKA YANGA HAWAKO VIZURI BADO USIDANGANYIKE NA HIZI MECHI MBILI WALIZOCHEZA DAR KWENYE KIWANJA KIZURI
VS DODOMA JIJI WATKUWA UGENINI KIWANJA KIBOVU NA MWALIMU MBISHI MEXIME

Mdau DODOMA kwa YOUNG AFRICANS bado saaana Tena saaaana

Giants ni Giants huwezi kumpa eti Dodoma anamfunga Young Africans

Dodoma anakufa nyingi tuu

Halafu uwanja wa DODOMA mzuri unless hufuatili Mechi za Uwanja wa Jamhuri

Na SIMBA na YOUNG AFRICANS hazina ugenini,popote wanajaza uwanja wao

Nakupa options zakesho

A) YOUNG Africans vs DODOMA over 1.5
B) YOUNG AFRICANS vs DODOMA over 2.5
 
Ningependa atokee mtu mmoja aielezee kwa kina handcap and Asian handcap hakika hii siijui kabisa
Kwa mfano yanga anacheza na simba Leo saa 10, wewe unataka kumbetia yanga ukiamini atashinda lakini ukawa na mashaka labda wanaweza draw au anaweza fungwa kwa hisia zako unahisi atafungwa goli labda mbili au tatu ili KUZUIA hisia hizi sisije kuwa kweli tunaweza tumia handicap au asian handicap


Kwenye handicap unamuongezea goli au magolii yule unataka/amini atashinda ili KUZUIA draw. Na ikitokea draw ume umepoteza mfano.


Matokeo ya yanga na simba ni 1-0, 2-0, 3-0 nakuendea au 1-1, 2-2 n.k lakini wakati unachangia handicap ulichagua 2:0, manake yanga ulimtangulizia goli mbili zaidi ya Simba kwa matokeo ya hisia lakini uhalisia matokeo yaka kama hapo juu ebu muongezee yanga zile goli mbili kwenye matokeo halisi je unaona atakuwa na goli ngapi na je anashinda au ana draw?

Mfano kwenye 1-0, ongeza zile 2 itakuwa 3-0, na kwenye 1-1 itakuwa 3-1



Hivyo unachukua mpunga




Mfano Jana match ya jong ajax vs roda


Nikimpa hivi handicap (0:2)

Fulltime na matokeo yakawa 3:1 manake jumuisha hivi. Hp(0:2) + real(3:1) utapata 3:3 hii kwenye handicap ni lost kwahiyo matokeo ya mwisho baada ya kuongeza handicap yakileta draw au akiendelea KISHINDA yule uliemnyima handicap umeliwa mfano ningempa handicap ya (0:1) matokeo ya mwisho Huwa hivi 3:2 hapa na lost



Kuhusu asian handicap yenyewe Haina draw so matokeo ya mwisho anatafutwa mahindi hapa wataeleza wengine
 
Kukuza mitaji ni lazima ...najiunga bando la net la 5000 kila siku kwa kukuza mitaji nabeti hadi matreni ya ngumu kumeza kwa kukuza mitaji kama hapa nimepiga bia mbili faida ya kukuza mtaji bet raha sana ukiwa na akili
Lengo kufikisha shingapi kama mtaji
 
Lengo kufikisha shingapi kama mtaji
Tumia akili hata nikiwa na mtaji wa sh 8000 naweza kutumia sh4000 kuchezea matreni kama 6 na ngumu kumeza kama 4 kisha na sh 4000 iliyo baki ni kukuzia mitaji hapo hapo hiyo sh 4000 naweza kukuza mtaji ndani ya masaa machache ikawa elfu kumi nikaongeza tena matreni kutoka 6 hadi 14 na ngumu.kumeza kutoka 4 hadi 10 kisha pesa inayo baki nakuza tena mtaji kwa siku naweza kubeti mikeka ya zaidi ya sh elfu 28000 kwa mtaji wa sh 4000 tu na ukakuta nina hakiba ya hata elfu7000 huku nina matreni hata 20 nsyasubiri kula mamilioni
 
Betway

Boxing day 🎁


13CCB18D

πŸŽπŸ’΅πŸŽπŸ’΅πŸŽπŸ’΅πŸŽπŸ’΅πŸŽπŸ’΅πŸŽπŸ’΅πŸŽπŸ’΅
 
Ligi kuu Italia serie A , Serie B na hata serie C umafia mwingi sana kwenye betting

Jana fiorentina πŸ”¨
 
Hii match ya Orlando pirates umekuwa interrupted vipi wawekezaji tutalipwa especially wa direct win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…