Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani nilishaomba sana namba ya LICAS SIGALLA lkn sijawahi kufanikiwa kuipata ,ni wakala wa 1xbet
 
Oyaa.... Timu yeyote tu ipate goli mbili.... Ngoja waanze kucheza tuone maajabu ..... Siku njema ya maboksi, makonde,masumbwi na Leo tusimbwike na mhindi/mrusi.

View attachment 3185369
Hapo ndio mchawi alipo... Man City anapata penati na anakosa ..mpaka Sasa nyaunyau ..mamamaae.... Betting ni kiboko sana japo muda Bado ...lakini man City....mmmmhhhhhhhmmhhhhhhhh
 
mi nipo mkoa wa mara ndio maana nahitaji namba ya lucas

kwenye withdrawing suala la mkoa linamata
 
Habari! Wadau wa kubet au kwa wale wazoefu wa kamali (football) ni kwa jinsi gani nitajua VIP prediction inayotoa matokeo mazuri kwa zile za kulipia
 
Wakuu game ya yanga ilitoa Kona ngapi?. Hasa Dodoma alipata Kona ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…