Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kama kweli wewe ni mkongwe basi unapaswa kujua watu wanalalamikia nini
 
Hivi hii game ya Man U na red card yao unaweza kuidhamini na option gani live betting?
 
Daah, nilikosea stake, badala ya sh. 2,500/= nikaweka sh. 25,000/=. Imetokea bahati mkeka ukatiki!

 
Refa hakutaka kabisa kumaliza mpira mpaka alipoona over 1.5 imetoa. Kwa niaba ya wabetiji wenzangu nashauri apandishwe mshahara mara moja.
 
Kwa wale tuliobeti mechi za saa12jioni tukaomba goli moja moja mhindi amepita na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…