Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...

Sasa mfano huyu ameleta mkeka ama Kodi kampuni ambayo hauna mfano "paripesa" ... Chukua code Nenda paripesa weka code load mkeka angalia machaguo yake ...ukiridhika nayo na kwenye kampuni unayotumia machaguo hayo yapo Nenda kayachague ucheze hajakulazimisha ujisajili paripesa
Nna accounts
-betwinner
-betway
-sokabet
-Mkekabet
-galsport
-premierbet
-parimatch
-playmaster
-1xbet
-helabet
-22bet
-Sportybet
-Meridianbet
-M-bet
n k....

So mi ukileta code Kampuni yeyote kati ya hizo naenda naangalia chaguo ntalopenda nalinote pembeni .. hivyo mwisho wa siku naibuka na mkeka mmoja kutoka code za kampuni nyingiii ....


Tatizo weeeengiiiiii mmekuwa watu wa kupinga zaidi baada ya kuwekeza katika maarifa ya Nini kinatumwa ..sio kila kinachotumwa ukibebe kama kilivyo ndio mwisho wa siku mnamjia mtu Kwa hasira .....

Ndio maana wa wakongwe humu ..tunapita tu kusalimia mara moja Moja unatoa tips (Kwa mapenzi yako chagua kadhaa au chukua kokoro lote) ...ukiwin fresh tukipigizwa pia usilaumu.

Adios.
Mkuu kama kweli wewe ni mkongwe basi unapaswa kujua watu wanalalamikia nini
 
Hivi hii game ya Man U na red card yao unaweza kuidhamini na option gani live betting?
 
Man United na mwenzio
Mtajuana wenyewe,mie Tumeishamalizana kwenye bookings

Screenshot_20241226-213904.png
 
Daah, nilikosea stake, badala ya sh. 2,500/= nikaweka sh. 25,000/=. Imetokea bahati mkeka ukatiki!

1735239854975.png
 
Refa hakutaka kabisa kumaliza mpira mpaka alipoona over 1.5 imetoa. Kwa niaba ya wabetiji wenzangu nashauri apandishwe mshahara mara moja.
Screenshot_20241226-222337_MelBet.jpg
Screenshot_20241226-222446_MelBet.jpg
 
Kwa wale tuliobeti mechi za saa12jioni tukaomba goli moja moja mhindi amepita na sisi
 
Back
Top Bottom