Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada wa kupata odds 10
Nataka niweke nusu ya hela ya kikoba ya mama chanja.

Nimempokea hela yake yeye kaenda moshi ...nikasema mtaji si ndo huu jamani
Leo Odds 10 zimekata vibaya mnoo kuziset kwenye less risk
Nyingi zimekata ngum kama Tako la Fundi cherehani

Subiri usiku tutatupia za kesho, at least zinaonekana kidogo uwezekano wa kupoteza mdogo na hiyo NDIO trending yetu wakamaria
 
Rasmi nimeachana na huu utapeliii...RASMI NIMEKUBALI HUU NI UJINGA KWANGU. Wenzangu safari njema mbutue mamilion hayo
MUNGU akubariki,ukija uje na Jina jingine will ijayo

Anayeacha haaagi,wala hatoi taarifa

Uzuri wa Betting ni kwamba unajitapeli Mwenyeweeee
Sasa anza kujikataa kwanza wewe mwenyewe
Ila Chama cha wachezaji KAMARI kinakushkuru saaana Tena saaana kwa kuchangia TRA mapato ya Serikali 👏👏👏👏👏
Ungeambiwa kwa hiari ungemtukana Mama SAMIA mpaka na Bibi yake
 
Murifeee Don't run ...Don't run
Mkuu tunabet for fun .. japo hii ni kazi
Principle ya stake what you can afford to lose ndio nguzo pekee ya kuzingatia.

Pumzika .. utarudii tu
🤣🤣🤣daah leo siku ya kwanza bila jamvii
 
Nishaacha na kurudi mara kibao lakini sasa sitarudiii
 
asante mkuu
 
Jaribu kuwa mtundu wa ku fix options

Kuna bonus ambazo zinataka kila Mechi iwe na odds kuanzia Fulani, wengine Wana fix odds za juuu Ili wakupige Tena,numbers of matches haijalishi ila odd ya kila Mechi iwe kubwa na overall Odds ina kiwango chake
Hilo sio tatizo.... Kikubwa ni kujua inatumikaje.......
 
Hiii imeenda vizuri mpk sasa
 
Naona Leo Brighton vs Brentford wanaocheza kistaraabu sana hakuna kadi first half hata moja🤣
Ngoja tuone kipindi Cha pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…