Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sipati code ya sportybet
1000015267.jpg
 
Nipo mama ulitaka nistake ngapi huo ndio utaratibu wangu mpyaa vp kuna swali la nyongeza 😋😋
😂 We jamaa bhn makasiriko mpka unatukana, asa unachotetea nini apo Yani umepost mkeka na bet ID inasomeka pale juu , ndomana nkasema we unatuona sisi watoto au washamba , bet ID hyo ukisearch haisomi huu mkeka
 
Unawzaje ku serach bet ID ya mtu mwingine mkuu au wewe ni admin unafanya kazi kwenye hiyo kampuni anayobeti?
 
Vita ilikuwa kali ila tulishinda.
 
Attachments

  • Screenshot_20241229_113243_1xBet.jpg
    Screenshot_20241229_113243_1xBet.jpg
    91.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241229_113243_1xBet.jpg
    Screenshot_20241229_113243_1xBet.jpg
    91.6 KB · Views: 6
Tunapiga miguu yote NBA ilitema mpunga odds 10+

Nipo humu jukwaa la mikeka tangu 2017 ila siku hizi watu wa humu wakiona won tiket wananuna sana na shombo nyingi ndio maana ma-legends wanapita kwa mbali.
 
Attachments

  • Screenshot_20241229_113048_1xBet.jpg
    Screenshot_20241229_113048_1xBet.jpg
    254.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom